Baba Rayhaan
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 615
- 418
="Mwl.RCT, post: 20196895, member: 158670"]Nafanyia kazi,
Nitawasiliana nawe kwa whatsapp baada ya muda mfupi.
Sawa mkuu
="Mwl.RCT, post: 20196895, member: 158670"]Nafanyia kazi,
Nitawasiliana nawe kwa whatsapp baada ya muda mfupi.
sawa nimeona.Manunuzi USD $136.99
Usafirishaji USD $249
My Chrages USD $15
Jumla USD $400.99
Sawa na TZ shilling: 931,299.275
View attachment 482329
Cartridge PG440 CL441 PIXMA MG2180 MG3180 MG4180 MG4280 MX378 | eBayNinahitaji cartridge 440 & 441 za cannon, kwa hizo mbili zitanigalimu kiasi gani hadi kufika tz?
Ok shukrani tutawasiliana mkuu...Chillah
View attachment 485766
Pichani ni ghaama ya manunuzi pekee
Ghalama yakusafirisha inapatkana baada ya kuwasiliana na seller.
Mwlm naomba nichanganulie hii bidhaa na kama inasafirishwa mpakaTanzania. Asante
http://www.ebay.co.uk/itm/NEW-52CC-...MMER-BRUSH-BUSH-CUTTER-3-BLADES-/331969411421
1. Seller yupo UK, ila hajaweka wazi ghalama ya kuufikisha katika ofisi za UKmwalimu nataka mzigo huu nichanganulie bei hpo maana hautumwi moja kwa moja.
http://www.ebay.com/itm/M-Audio-Key...102773?hash=item27f2047475:g:ePYAAOSwDk5TtRco
https://www.amazon.com/gp/product/B00IWRJSE2/ref=ox_sc_act_title_1?ie=UTF8&psc=1&smid=ATVPDKIKX0DER
Hujamwambia ikifika bongo itatozwa kodi zifuatazo:Ni vyema ukanipatia link husika
Angalizo
- Fastcardtech wanatoa free shipping kwa bidhaa zote - Tatizo zinachukua muda mrefu siku 14 - 21.
- Ila kuna express shipping kwa DHL, huwa inachukua kati ya siku 3 - 5 unapokea mzigo, Shipping cost kwa DHL ni USD $40
- Karibu
Rejea post no.1 na no.2 nimeweka angalizo kuwa kwa bidhaa zote zinazoingia nchini huwa kuna Tozo mbalimbali toka mamlaka husika.Hujamwambia ikifika bongo itatozwa kodi zifuatazo:
Import duty, railway development levy, excise duty, vat