Nukuu za JK

" wapinzani wakija na batalions siye tutawajia na kombania"
2005 katika kampeni
 
"Mie ndie rais wa kwanza wa Africa kukutana na rais Obama"
<br />
<br />
SO WHAT THEN KAMA ALIKUTANA NAE IMETUFAIDISHA NINI THAN MALUWELUWE TUUU! NA MIKATABA FEKI,ILIKUWA NI KWA FAIDA YAKE KUPIGWA PICHA NA BENDERA YA AMERICA NA KUUZA NYAGO KWENYE MAGAZETI TENA LABDA YA UDAKU YA PANDE ZA HUKO!!!! MBAYA ZAIDI KODI ZETU ZIMEYOYOMA BUUUUURE
 
Naomben mchague diwani ccm, mbunge ccm, na mie rais ccm, mafiga matatu ndio utamaduni wetu. Kwenye kampeni 2010
 
Back
Top Bottom