Nukuu ya Mwl. Julius Nyerere juu ya rasilimali za nchi

Mr Why

JF-Expert Member
Nov 27, 2019
1,125
1,922
Ndugu zangu ilikuwa mnamo mwaka 1958, ndipo Baba wa Taifa Mwl Julius Nyerere alipotoa wosia mzito juu ya rasilimali za nchi.

Tutumie nukuu hii pale tunapotaka kuchukua uamuzi unaohusiana na maswala ya rasilimali za nchi yetu ili kunusuru Taifa letu.

IMG-20230704-WA0002.jpg
 
Okay, sawa.

Yeye Nyerere alifanya nini, aliweka legal regime gani kuzuia ardhi ya Tanganyika isiuzwe kama kanzu ?

Sera na sheria ya ardhi imetungwa mwaka wa 1999 kwa hisani ya kina kina Prof. Shivji na Prof Fimbo. Nyerere did nothing. Zaidi ya kutugawa bure kwa Wazanzibar ambao sasa nao wanatuuza kwa Waarabu.
 
Ndugu usiseme Nyerere did nothing. Je baada ya sheria hiyo kutungwa imefuatwa? Bado changamoto ni nyingi sana kwa Taifa letu
 
Ndugu usiseme Nyerere did nothing. Je baada ya sheria hiyo kutungwa imefuatwa? Bado changamoto ni nyingi sana kwa Taifa letu
Yeye Nyerere aliacha sheria gani?

Yani Nyerere was good for quotes and speeches only?

Katiba ya Nyerere ilimruhusu Rais kugawa ardhi. Eti mdhamini. Whatever the heck that means. Okay, yeye hakuwa corrupt, lakini waliomfuatia wakagawa ardhi, viwanda, maranchi, mbuga na wanyama wa kwenye mambuga.

Nyerere ataendelea kuhukumiwa na vizazi vya sasa na vijavyo. Ametugawa kwa Zanzibar akitafuta sifa za u-statesman muunganisha nchi.

Thank God in Heaven Kenyatta na Obote walikataa, wangekuwa wanamiliki hili li ardhi la Tanganyika wanalomiliki wa Zanzibar.
 
Okay, sawa.

Yeye Nyerere alifanya nini, aliweka legal regime gani kuzuia ardhi ya Tanganyika isiuzwe kama kanzu ?

Sera na sheria ya ardhi imetungwa mwaka wa 1999 kwa hisani ya kina kina Prof. Shivji na Prof Fimbo. Nyerere did nothing. Zaidi ya kutugawa bure kwa Wazanzibar ambao sasa nao wanatuuza kwa Waarabu.
If he did nothing, hiyo sheria ya Ardhi ya 1999, ilikutaje Ardhi ya Tz bado yote ipo?!!

Au hujui sheria ya Ardhi ya 1999 ni replacement ya sheria iliyokuwepo miaka ya 70.

Sasa mbona nje ya kipindi chake cha uongozi ndio Ardhi nyingi zaidi imeuzwa?!
 
Okay, sawa.

Yeye Nyerere alifanya nini, aliweka legal regime gani kuzuia ardhi ya Tanganyika isiuzwe kama kanzu...
Aisee Nyerere anaishi wapi au anatawala wapi sasa hivi?

Hii ndio kumlaumu Babu mzaa babu yako sababu ya sura yako mbaya hence haupati vimada...; wakati babu yako alikuwa na choice ya ku-dilute sura zenu mbaya kwa kutafuta partner mzuri, hence wewe kuwa na sura nzuri; au badala ya kulaumu kwanini usitumie nyenzo nyingine (i.e. pesa) ili kupata vimada?

If at all kwa hayo maneno alikupa nasaha za wewe kuweza kutumia fikra zako kufanya yako (vilevile yeye hakuuza hence angeuza angekufanya wewe mtwana...; bali alitaitaifisha hata baadhi ya shule ili wale ambao baba zao walikuwa vijakazi atleast waliweza kupata elimu kama ndugu zao wa ngozi tofauti).

Mpaka leo watanzania tunajivunia moja tu! (ukiangalia sana hatuna lolote la zaidi) nalo ni utaifa na umoja zunguka pote kwa ndugu zetu kwao ukabila udini umimi na usisi ndio sifa; ila kwa upuuzi wetu the only thing / advantage we have na yenyewe tuna-flush down the sewer..., and I tell after that we will indeed have nothing; afadhali ya wenzetu wanaobaguana wanafanya hivyo matumbo yakiwa yameshiba.
 
If he did nothing, hiyo sheria ya Ardhi ya 1999, ilikutaje Ardhi ya Tz bado yote ipo?!!
Sheria ya 1999 ilikuta ardhi ipo kivipi wakati kina Mwinyi na huyu Vice Chair wa CCM ya Samia walishagawa hifadhi na twiga?

Ardhi haikuisha yote toka miaka ya 60 kwa saab Nyerere personally hakuwa corrupt, lakini akaweka vipengele vya kumpa Rais limitless powers.

Halafu anasema - alivyo arrogant au alivyo mindless - anasema ningetaka ningeweza kuwa dikteta kwa saab Katiba inaniruhusu kufanya lolote. Likiwemo hilo la Rais kuwa mdhamini mgawa ardhi.

Sasa kwa nini hukurekebisha hiyo Katiba uliyosema inaruhusu mtu kufanya chochote na tusimfanye lolote, na hivyo vipengele vya kidikta ameviweka nani, mkoloni?

What the hell are we calling you the founding father for?
 
Back
Top Bottom