Ntapataje contact za Wabunge wa CHADEMA

kabila01

JF-Expert Member
Apr 21, 2009
4,235
4,949
Wana JF leo Bungeni Bajeti ya Wizara ya Afya bado inajadiliwa, Kinachoniuma kuna ufisadi mkuwa sana unafanyika katika hizi management za Afya za wilaya na mikoa maarufu kama CHMT na RHMT, na pia ktk miradi ya maendeleo ya Afya ambayo inafadhiliwa na wafadhiri. Nikipata Contact za mbunge wa CHADEMA ntampatia black and white alipue leo bungeni. Nisaidieni wana JF hata ka PM
 
usiende facebook baki hapa hapa, we bandika isue yako wataona, wote ni wana jamvi, hata Slaa hutaki ajue nini unataka uwaeleze wabunge? we weka hapa mawazo yako utasaidiwa vizuri zaidi
 
usiende facebook baki hapa hapa, we bandika isue yako wataona, wote ni wana jamvi, hata Slaa hutaki ajue nini unataka uwaeleze wabunge? we weka hapa mawazo yako utasaidiwa vizuri zaidi

Nikiweka hapa wana Magamba wataziona na wataanza kujipanga kuzipangua bora cha moto akione waziri wao Bungeni. Ningepata Contact za Dr Slaa nae pia ningempatia
 
Wana JF leo Bungeni Bajeti ya Wizara ya Afya bado inajadiliwa, Kinachoniuma kuna ufisadi mkuwa sana unafanyika katika hizi management za Afya za wilaya na mikoa maarufu kama CHMT na RHMT, na pia ktk miradi ya maendeleo ya Afya ambayo inafadhiliwa na wafadhiri. Nikipata Contact za mbunge wa CHADEMA ntampatia black and white alipue leo bungeni. Nisaidieni wana JF hata ka PM

Nenda Dodoma uwapelekee hizo black and white zako. Ukifika Dodoma nenda stendi ya bus utakuta kijiwe cha kahawa,zitto uwa hakosekani hapo au siku ya mnada sehemu wanachoma nyama utamkuta Lissu.
 
Nikiweka hapa wana Magamba wataziona na wataanza kujipanga kuzipangua bora cha moto akione waziri wao Bungeni. Ningepata Contact za Dr Slaa nae pia ningempatia

Nitumie email au tuma sms ktk namba zangu hapo kwenye signature zangu. nitakupa namba ya mbunge unayemtaka.
 
Kwa faida ya wote, ifuatayo ni orodha ya mawaziri vivuli (shadow cabinet) ya CHADEMA Bungeni ikiwa na namba za simu za mkononi za wabunge hao:

Freeman Aikaeli Mbowe
Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni
Msemaji wa Upinzani kwa Ofisi ya Waziri Mkuu na TAMISEMI
0784 779944

Tundu Lissu
Msemaji wa Upinzani kwa Katiba na Sheria, Mnadhimu Mkuu wa Upinzani
0754 447323/0786572571

Antony Gervase Mbassa
Msemaji wa Upinzani Afya na Ustawi wa Jamii
0754/0767 626569

Kabwe Zuberi Zitto
Naibu Kiongozi wa Upinzani/Msemaji wa Upinzani Wizara ya Fedha
0713 730256

Raya Ibrahim Khamis
Msemaji wa Upinzani kwa Ofisi ya Waziri Mkuu - Sera Uratibu na Bunge
0777201212/ 0712043571

Esther Nicholas Matiko
Msemaji wa Upinzani kwa Ofisi ya Waziri Mkuu – Uwekezaji na Uwezeshaji
0784 865786/0712 227611

Said Amour Arfi

Msemaji wa Upinzani kwa Ofisi ya Rais - Utawala Bora
0784 818172

Mchungaji Israel Yohana Natse
Msemaji wa Upinzani kwa Ofisi ya Rais - Mahusiano na Uratibu
0784 486608/0752 625233

Susan Anselm Jerome Lyimo
Msemaji Upinzani kwa Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma
0784/0715 582414

Pauline Philipo Gekul
Msemaji wa Upinzani kwa Ofisi ya Makamu wa Rais – Muungano
0784 470669

Leticia Mageni Nyerere

Msemaji wa Upinzani kwa Ofisi ya Makamu wa Rais – Mazingira
0718 503281

Godbless Jonathan Lema
Msemaji wa upinzani kwa Mambo ya Ndani ya Nchi
0764 150747/0756 551918

Ezekia Dibogo Wenje

Msemaji wa upinzani wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa
0785 479302/0762 848192

Joseph Roman Selasini
Msemaji wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa
0754/0784 580201

Sylvester Mhoja Kasulumbayi

Msemaji wa upinzani wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
0787 458107/0716 343727

Prof. Kulikoyela Kanalwanda Kahigi
Msemaji wa upinzani wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia
0767 340172/0713440172

Halima James Mdee

Msemaji wa upinzani wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi
0713 569823

Mchungaji Peter Simon Msigwa
Msemaji wa upinzani wa Maliasili na Utalii
0754 360996

John John Mnyika
Msemaji wa upinzani wa Nishati na Madini
0784 222222/0754694553

Salvatory Machemli

Msemaji wa upinzani wa Ujenzi
0715/0784 481858

Mhonga Said Ruhwanya

Msemaji wa upinzani wa Uchukuzi
0713595146/0784838043

Lucy Philemon Owenya
Msemaji wa upinzani wa Viwanda na Biashara
0754 200104

Christowaja Gerson Mtinda
Msemaji wa upinzani wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi
0716/0782 /0767 161353

Regia Estelatus Mtema
Msemaji wa upinzani Kazi na Ajira
0713/0784 760534

Naomi Amy Mwakyoma Kaihula
Msemaji wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
0754 486234/0653 680712

Joseph Osmund Mbilinyi
Msemaji wa Habari, Vijana na Michezo
0716 627344

Mustaph Boay Akunaay
Msemaji wa upinzani Ushirikiano wa Afrika Mashariki
0713/0784 512308

Meshack Jeremiah Opulukwa

Msemaji wa upinzani Kilimo, Chakula na Ushirika
0715 506070/0783 100110

Highness Samson Kiwia
Msemaji wa upinzani Wizara ya Maji
0754 977070
 
Nenda Dodoma uwapelekee hizo black and white zako. Ukifika Dodoma nenda stendi ya bus utakuta kijiwe cha kahawa,zitto uwa hakosekani hapo au siku ya mnada sehemu wanachoma nyama utamkuta Lissu.
ungeendelea hivi ukifika DODOMA nenda kwenye ukumbi wa bunge utamkuta Wasira na Komba wamelala, kwani inasemekana huwa wana kuvywa piliton na kama watalala hotel watakosa posho...
 
Kuna wagonjwa wa Milembe wengi kweli! Kama huyu
Nenda Dodoma uwapelekee hizo black and white zako. Ukifika Dodoma nenda stendi ya bus utakuta kijiwe cha kahawa,zitto uwa hakosekani hapo au siku ya mnada sehemu wanachoma nyama utamkuta Lissu.
 
ungeendelea hivi ukifika DODOMA nenda kwenye ukumbi wa bunge utamkuta Wasira na Komba wamelala, kwani inasemekana huwa wana kuvywa piliton na kama watalala hotel watakosa posho...
Na ukimkuta wasira naomba umzimue ngumi coz atakuwa amelala ili aamke.
 
Back
Top Bottom