Ntapata wapi Metal Detector (tz)?

Swahilian

JF-Expert Member
Apr 28, 2009
591
66
Ass, alaykum ndugu zangu wa Jf,
Na hakika wote ni wazima wa afya na zaidi ya yote nilikuwa naomba msaada wa kujua wapi ntaweza kupata kifaa cha utambuzi madini (Metal Detector) yanapokua ktk ardhi.
Na hasa aina ya dhahabu na almasi,
Msaada wenu mkubwa unahitajika ktk kujua ni wapi naweza kutembelea(maduka) na pia hata kama ntaweza kujua gharama zake (bei) hapa kwetu Tanzania.
Natumai ntapewa majibu ya kuridhisha na yenye utoshelevu na hasa kutoka kwa wataalamu wa uga huo wa madini na vito.
Ushauri, mawazo na maoni lukuki yanahitajika ili tumsaidie ndugu yetu...
 
Kwa apa TZ akuna just Google utazipata,zipo nyingi tu UK,USA na South Africa.
 
Ass, alaykum ndugu zangu wa Jf,
Na hakika wote ni wazima wa afya na zaidi ya yote nilikuwa naomba msaada wa kujua wapi ntaweza kupata kifaa cha utambuzi madini (Metal Detector) yanapokua ktk ardhi.
Na hasa aina ya dhahabu na almasi,
Msaada wenu mkubwa unahitajika ktk kujua ni wapi naweza kutembelea(maduka) na pia hata kama ntaweza kujua gharama zake (bei) hapa kwetu Tanzania.
Natumai ntapewa majibu ya kuridhisha na yenye utoshelevu na hasa kutoka kwa wataalamu wa uga huo wa madini na vito.
Ushauri, mawazo na maoni lukuki yanahitajika ili tumsaidie ndugu yetu...
Im techinician geologist hope we can talk, jus im me.
 
Sisi Pacifica Marine tunaweza kukuagizia toka Marekani hizo detector kama hii hapa chini:-

Description
BH GOLD DIGGER Metal detector w/ Headphones
[h=2] Description[/h]
Manufacturer Part Number:
089723830842
Shipping Dimensions:
20.8 L
9.0 W
6.1 H

The stylish Gold Digger Metal detector will detect all kinds of metal from iron relics, coins and household items to precious metals like silver and gold. For more privacy when treasure seeking, the Gold Digger comes complete with headphones and 1/8 headphone jack for immediate use. Motion all-metal mode for detecting all types of metal; Requires two 9-volt Alkaline batteries (not included); Automatic tuning and ground balance; Power and sensitivity control; Trash eliminator control to remove most undesirable items from detection.

Tuandikie kwenye: pacificamarine@yahoo.com ili tuzungumze. kwenye soko la kimataifa, hapo Minnessota, USA inapatikana MPYA kwa $ 279.99, shipping kuja Dar es salaam $ 79.00 na ushuru $ 10.99. Utalipia ikishafika Bongo.
KARIBU.

Wakuu hii kitu kuna jamaa alikuwa anaitafuta sana, mwenye nazo hapa bongo ani PM!
 
Back
Top Bottom