nssf

hebu badili tittle ya uzi huu mana kuna watu watakimbilia mbio mbio afyu wakumbane na huu upupu uliopaka utawatia hasara kwa kupasua monitor za pc zao
 
Naunga mkono hoja badilisha title ya thread ni kuwapa watu presha tu
 
Aiira katika NSSF ni ngumu imegubikwa na upendeleo wa KIDINI.Kama wewe si JUMA,KHADIJA, ABDALLAH ,ujue huna uhalali wa kupata ajira hapo hata kama una sifa zinazostahili.Kinara wa hali hii ni kiongozi wa juu kabisa wa Mfuko huo akichagizwa na Mkurugenzi Maslahi ambaye pia huenda ni Khadija.Tunawashauri wabadilike wote ni watoto wa Baba moja .Mungu anachukizwa na vitendo hivyo waombe toba.Karibuni vijana (mzigo wa Mjomba) waliitwa kufanya apptitude test, hatutashangaa kuona ni walewale walengwa watakaopata ajira!!
 
MPONELA unatushangaza!!!. Wakristo nchi hii hampaswi kulalalmika hata kidogo. Hii ni kwa kuwa ndio wanufaika wakubwa wa rasilimali za nchi hii (tafiti nyingi zinaonyesha hayo nnayoyasema). kwa taarifa yako hakuna taasisi hata moja katika nchi hii yenye watumishi WAISLAMU wengi kuliko WAGALATIA. Fanya utafiti na ukiipata moja tu nitakupa zawadi nzuuuuri. Bali ukweli ni kuwa watumishi WAGALA ni wengi katika Serikali na taasis zake kuliko WAISLAMU kwa zaidi ya 80%.
 
Muu naona mmeguswa pamoja na mikakati yenu na Dk. Dau... Mlidhani siri??
 
Jaribu kuweka uhusiano kati ya title na contents! Weka tutle inayoeleweka au tafuta thread ya hii huko nyuma
 
watu wamefanya aptitude week iliyopita na walikuwa zaidi ya 500 na maswali yalikuwa zaidi ya mia. Je unategemea watakuwa wameshamaliza kusahihisha hizo test ndani ya wiki?. Kwa taarifa yako hata mabox ya hiyo mitihani bado hayajachukuliwa pale IFM kwenda kwenye ofisi zao ili test zisahihishwe
 
MPONELA unatushangaza!!!. Wakristo nchi hii hampaswi kulalalmika hata kidogo. Hii ni kwa kuwa ndio wanufaika wakubwa wa rasilimali za nchi hii (tafiti nyingi zinaonyesha hayo nnayoyasema). kwa taarifa yako hakuna taasisi hata moja katika nchi hii yenye watumishi WAISLAMU wengi kuliko WAGALATIA. Fanya utafiti na ukiipata moja tu nitakupa zawadi nzuuuuri. Bali ukweli ni kuwa watumishi WAGALA ni wengi katika Serikali na taasis zake kuliko WAISLAMU kwa zaidi ya 80%.

kwa NSSF mbona sio siri?
 
Inawezekana unalosema ni kweli, ila kwa nssf ndio itakuwa hyo organisation moja ambayo ipo hyo.
 
Maneno yako niyauchochezi, hivi tukianza kufuatilia kila ofisi za serikali utakuwa na la kujibu. Hapa tuelezee kama unaushahidi kuna watu wasio na sifa wameajiriwa?
 
Back
Top Bottom