Udini unawapeleka Shimoni Nssf.
Recycling recycling! old story, toka lini gazeti la udaku la MwanaHalisi ndio likawa ripoti ya CAG?
Hiyo n artcicle ina mapungufu na upotoshwaji mkubwa, hebu tuone hii;
Mkuu acha kutetea upuuzi hiyo habari ya Mwanahalisi ingekuwa ya uongo NSSF wangeenda mahakamani, na kwa nini hiyo sheria ya kujitoa at 55 imelazimishwa kama si kunusuru hali ya hiyo mifuko?Recycling recycling! old story, toka lini gazeti la udaku la MwanaHalisi ndio likawa ripoti ya CAG?
Hiyo n artcicle ina mapungufu na upotoshwaji mkubwa, hebu tuone hii;
Mkuu acha kutetea upuuzi hiyo habari ya Mwanahalisi ingekuwa ya uongo NSSF wangeenda mahakamani, na kwa nini hiyo sheria ya kujitoa at 55 imelazimishwa kama si kunusuru hali ya hiyo mifuko?
Hii imeshakuwa sheria na mkuu wa kaya keshasaini. Bunge liljadili suala hili April 7, 2012. Kura ikapigwa walio wengi wakasema: Ndiooooooooooooooooooo! wachache wakasema: Hapanaaa! Mimi nashauri pawe na mass strike tukiongozwa na TUCTA vinginevyo serikali haitasikia!sio confirmed mkuu,..wanasema serikali inafikiria kupeleka muswada bungeni nafikiri juu ya hili.