NSSF inakula na wakubwa sie wachangiaji tunatabika kumbe ndo haya?

curie

JF-Expert Member
Oct 25, 2020
664
1,489
Kwa mujibu wa Taarifa ya Fedha ya NSSF kufikia Juni 30, 2023!
1. Mikopo Miradi ya Serikali TZS 611bn
2. Mikopo kwa Wabunge TZS 1.2bn
3. Mikopo kwa Taasisi, Udhamini wa Serikali TZS 89bn
4. Mikopo kwa kampuni TZS 61bn

Kwanini Wabunge wanakopeshwa fedha zisizowahusu?
C&P
IMG_20240320_104541.jpg
 
Back
Top Bottom