Iko nyingine hii, Bwana Rweyemamu umefanyaje hadi watoto wako wanafuru hivi shuleni, Actually mimi mweneyewe nina ka masters, mama yao hawa watoto alimaliza Form six, akazaa watoto watuta nikampeleka chuo kikuu, mtoto wangu wa kwanza ana kadigiri kamoja, wa pili anamaliza form six kesho kutwa na mdogo wao nae hayuko nyuma, mtihani wa darasa la saba alipata division one.
Kazi ni kwenu, kama hata mtihani wa darasa la saba nao huwa na Division!
Si ndo nashangaa Rugambwa.
na vile vimichezo vya gizani wanavipendaga saaaaaana
hebu kuwa wazi kidogo, vimichezo gani hivyo!
ashakum si matusi, si vile vimchezo vya katerero na kachabari!
mbona unajihami sana KOKU! acha uwanja na wengine wajibu, kutokujiamini kwingine bwana!
Wasukuma PROF BENO NDULU(BOTA), PROF. JUMANNE MAGEMBE(MIFUGO), DK. MAGUFULI(MIUNDO MBINU) na sis 2po halaft hatunaga infwact sie.
ukitaka kujua ukweli nenda pale chalinze then uone magari yaliyobeba maiti yanaelekea wapi kwa sana then ndo uje hapa jukwaani utwambie n kabila gani linaongoza kwa kufa kwa ngoma then utapata jibu n kabila gani mala.ya na si kusingizia wahaya
Sio ngoma na bao bali ngo..o na kupiga bao!Nasikia wanapenda sana ngoma na bao.
Sio ngoma na bao bali ngo..o na kupiga bao!
Kwanini huwa mnaogopa vivuli vyenu??Huwezi kukimbia kivuli........kama ndo hivyo basi jua ndo hivyo alfa na omega..wahaya ni zaidi ya binadamu wa tanzania....:israel:
mkwele ngoma mdundiko vanga tokomile mkinda .. na sio shulembona huwa hamuwasifii wa-Kwele? au wao hawana kitu cha kipekee?
Wasukuma PROF BENO NDULU(BOTA), PROF. JUMANNE MAGEMBE(MIFUGO), DK. MAGUFULI(MIUNDO MBINU) na sis 2po halaft hatunaga infwact sie.