Nsajigwa Fuso aachana na Ukapera

Wasi wasi wangu ni kama ataweza kutmika ipasavyo kama ilivyokua hapo kabla maana kiuchezi ni too mechanical thus kuhitaji mwili zaidi, sasa kama amejonhezea majukumu ya mwili mmwingine (ambayo ni haki yake ya msingi) hapo niu changamoto...nina uzoefu wa wachezaji walioshuka viwango baada yA KUoa kama vile Uhurru Selemani, Salum Kanoni, Musa Mgosi, na wengineo, kadhalika mchezaji Mrishi Ngasa alishauriwa na Zola aje kuongeza mwili yeye akaongeza mke wa pili..................cha msingi ni jinsi ya kujitafsiri mchezaji na maadili yake........Namtakia kila la heri
 
Back
Top Bottom