Noti ya Billion hamsini ya Zimbabwe ina thamani gani?

Mr the dragon

JF-Expert Member
Apr 14, 2017
1,919
3,646
Wadau kuna hela niliiokota njiani imeandikwa 50 billion noti ya Zimbabwe ina thamani gani?

Nilipoiokota sikutilia maanani sana, maana nimekuwa nikisikia story za hela ya Zimbabwe kutokuwa na thamani. Na haikuniingia akilini billioni hamsini iwe kwenye noti moja tu. Hivyo, sikuitunza ikapotea.

Leo kwenye story za hapa na pale na jamaa yangu,akaniambia eti nimetupa mamilioni ya hela. Nimejaribu kugoogle thamani yake katika USD inaniletea pesa nyingi sana.

Ndio nikaona niulize wajuvi thamani ya hii hela.

Nilijaribu kuipiga picha japo haionekani vizuri.
 
Hela ushapoteza mkuu ya nini kujitia stress

NB: hata Kama ela haina thamani sio vzr kuitupa
 
Hela yenyewe ndio hii inayoonekana hapo chini
IMG_20230809_090233.jpg
 
Wadau kuna hela niliiokota njiani imeandikwa 50 billion noti ya Zimbabwe ina thamani gani?

Nilipoiokota sikutilia maanani sana, maana nimekuwa nikisikia story za hela ya Zimbabwe kutokuwa na thamani. Na haikuniingia akilini billioni tano iwe kwenye noti moja tu. Hivyo, sikuitunza ikapotea.

Leo kwenye story za hapa na pale na jamaa yangu,akaniambia eti nimetupa mamilioni ya hela. Nimejaribu kugoogle thamani yake katika USD inaniletea pesa nyingi sana.

Ndio nikaona niulize wajuvi thamani ya hii hela.

Nilijaribu kuipiga picha japo haionekani vizuri.
It's something around couple of millions in Tsh
Screenshot_20230908-144020.jpg
but it was officially abandoned in 2009 , and dollar was adopted as official currency.
 
Wadau kuna hela niliiokota njiani imeandikwa 50 billion noti ya Zimbabwe ina thamani gani?

Nilipoiokota sikutilia maanani sana, maana nimekuwa nikisikia story za hela ya Zimbabwe kutokuwa na thamani. Na haikuniingia akilini billioni tano iwe kwenye noti moja tu. Hivyo, sikuitunza ikapotea.

Leo kwenye story za hapa na pale na jamaa yangu,akaniambia eti nimetupa mamilioni ya hela. Nimejaribu kugoogle thamani yake katika USD inaniletea pesa nyingi sana.

Ndio nikaona niulize wajuvi thamani ya hii hela.

Nilijaribu kuipiga picha japo haionekani vizuri.
Ulishindwa ku~google kipindi ulipoiokota sababu ya stori, ikapotea....!! stori tena, uka~google....!! halafu ukaikota tena! au!??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom