not eligible

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
naomba kuuliza,sisi tuliofanya application kwa kutumia mfumo wa cas-tcu tumekuta baadhi ya programs tulizo zichagua zimeandikwa pembeni yake not eligible au not qualified na wkt huo huo tumetimiza vigezo vyote vinvyotakiwa ikiwemo cut off points,alafu kila ukibadilisha ukaweka nyingne unaambiwa vile vile kwamba you are not eligible.sasa nauliza tatizo ni nini mpaka mtu uambiwe hvo na wkt vigezo vyote umetimiza?mfano me niliomba udsm,sua,mzumbe na udom lakin udsm na sua nimeandikiwa nimequalify ila udom na mzumbe nimeandikiwa not qualified,asa jaman tatzo hapo liko wap?naomben mnisaidie kwenye hilo wakuu.
 
We wavungie tu,ila uhakika wa kupata ud au sua upo..otherwise wangekuambia not eligible kote ili ujijue kabisa kuwa unakosa vyuo vyote ulivyo omba.over
 
kama viane alivosema,wapigie kwa namba zilizopo apo watakusaidia,last yr kuna mtoto ilishindikana tukawapigia wakarekebisha!
 
Mwanzo ni Eligible baada ya kutoa ile ambayo iko Not eligible na kupangilia Saivi Not eligible, wakuu tatizo nini??
 
cjakusoma.

Kuna faculty ilikua Eligible na nyingine ilikua not eligible sasa nikaamua kutoa ile ambayo iko not eligible na kupangilia vizuri sasa kuna faculty moja ilikua eligible saivi iko not eligible
 
kuna kitu kinaitwa competition..inawezekana wapinzani wako wa hiyo course wana alama nzuri kulko weye na haiwezekani kupata kama fairness ikitumika..cut off points huwa ni protocol tu ila wanaweza kuzipandisha au kuzishusha inategemeana na passmark ya mwka huo hasa kwa vyuo kama udsm na mzumbe...
 
ebu msaidieni jamani msimkosoe kiivyo please tupo katika dunia ya tatu kwahiyo vitu vingi ni vigeni mwao. ukimwambia mwenzako kwa maneo ya kejeli na huku ana shida kweli inamuongezea stress, so kwa wanaofahamu wamsaide, i wish ningekuwa pande za huko ni ningekuwa na majibu ya kukupa. maana hiyo TCU nimeifahamu kupitia hapa jamvini nilikuwa sijui kama kwetu kuna hicho kitu.
 
Back
Top Bottom