simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,409
- 9,183
Norway imesimamia vizuri raslimali zake na kupelekea mafanikio makubwa kiuchumi na kijamii, Je mikakati na mbinu ya usimamizi wa raslimali ya Norway inatufaa Tanzania? Soma zaidi hapa zingatia, tafakari, chukua hatua. www.shelltosea.com/content/norwegian-oil-experience-toolbox-managing-natural-resources