Norman Sigalla mkuu wa wilaya ya Hai, michango yetu ndio uliyotumia kuhonga wapigakura wa Makete?

Jun 14, 2011
58
18
kwa niaba ya wana Hai hatukubaliani na kitendo alichofanya mkuu wa wilaya ya Hai ndg Sigalla kwani haiwezekani uchukue michango yetu na ashindwe kutupa taarifa za kina ni kiasi gani na ni nani aliyechangiana amefikia wapi mpaka sasa. pia ni vizuri ukatoa majibu ya kutosha inakuwaje uteue wajumbe wa kamati bila mkurugenzi wa wa halmashauri kujua pia hatukubaliani kusema anaendeleza shule ambazo mhusika ,wenye shule amabye ni mkurugenzi hana taarifa. tunataarifa kuwa pesa zetu alizitumia mwaka jana na kupelekea kukamatwa na TAKUKURU ?sisi pesa zetu za elimu tulizozichanga ambazo ulizikusanya tulichangia kwa ajili ya elimu?tena nakumbuka tuliwahi kukutana wana Hai tuishio Darna sehemu nyingine tukatoa michango kwa ajili ya kuinua elimu na si vinginevyo na wala hatukuchangia kwa ajili ya kuwanufaisha mafisadi..kama itashindikana basi tutaaandamana hadi kwenye ofisini kwake ili atueleze pesa zetu zilipo......
 
Capture.JPG
 
Back
Top Bottom