Noombeni msaada kuhusu kupata ujauzito

kwahiyo mkuu leo unachoma? Nakuonea tamaa kinoma. gonga nyama nyama ukitaka kupizi toa mashine upizi nje.
 
Kweli, wanasema zinakaa masaa 72, (cku3), so bora m2mie kinga, na yai la mwanamke lapevuka mara 2, kuna kipindi cha kati, na mwishoni akikaribia kupata hedhi, me niliwahi kukwepa kusex cku za hatari, nikafanya kipindi ambacho nilikuwa nategemea anza period, ila huko nikanasa, hospital wakaniambia kipindi hcho pia mimba hu2nga, kwanza cjui ku2mia kalenda, so kama mwaogopa mimba 2mieni kinga, au mpenzio aende kupata kinga za kuzuia mimba, hzo zinatolewa hata kwa ambao hawajazaa, na hawataki kuzaa sasa, ushauri wangu ndo huo.
Du! Kijino hii ya leo kali na umeniacha hoi kabisa. Yai lako limepevuka mara mbili au ulichanganya mahesabu? hiyo mimi siikubali. nina miaka 15 ndani ya ndoa (achilia mbali kile kipindi cha kujaribujaribu). Siku zote huwa nategeshea kuanzia kufanya hayo mambo siku ya 21 hadi 28 (I regard these as safe days) na sijawahi kukumbana na hicho unachosema. Mke wangu aliwahi kupata mimba siku ya 20, ndio maana nikaanza kuikwepa hiyo siku. so I always count out day 8 to 20. Hebu wataalam wa biology tujuzeni kama kuna ukweli hapo
 
Haya mambo ya tarehe mimi yalinishinda asee.,
Mkuu learn to withdraw..:nerd:
Mkuu, mimi sihitaji hata kuyasikia mambo ya tarehe, maana yalinifanya nimpe ujauzito mwingine mai waifu wangu mtoto akiwa na miezi 2! NDOM ni kinga madhubuti bora kuitumia muda wote.
 
bora mtumie ndom maana mambo ya hesabu ni magumu wengine hawajui waanzie kuhesabia lini.... Baada ya kumaliza bleed au siku ile anayoanza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom