Msaada: Sijapata siku zangu nimepima sina mimba

Aug 9, 2021
13
14
Wasalaam jf

Naombeni mnisaidie nini shida

Nilianza period 14th July up to 18th July nikakutana na Baba chanja tar 21 na 26, period cycle ni 28 days. Hadi leo sijapata period nimepima mimba sina

Na je Kuna uwezokano wa kutopata ujauzito wakati hauna tatizo lolote? Ute ute wa ovulation day napata, period naingia vizuri tu

Kula nakula vizuri tu nafanya mazoezi pia kwa siku nakunywa maji lita 3.

Style zote tumemaliza lakini sipati

Nilipata ujauzito ukatoka, mwenzangu ana watoto
wawili tayari

Nisaidieni naham kweli ya kupata mtoto

Na je Kuna vitu let say dawa mwanaume anaweza kutumia ili asimtungishe mimba mwanamke?? Maana anapiz ndani lakini ni miezi7 Saba sasa na mwenzangu anaonekana hajali
 
Pole sana Kama mimba inaingia alafu inatoka kuna dawa za Hormone za kunywaa ambazo zitafanya Uja uzito usitoke kirahisi pia kufanaya ovulation itokee na kufanya urahisi wa kutungisha mimbaa...!!

Kama jamaa anawapa wengine mimba bhasi na wewe utapata ila kama hana uwezo anauziwa bhasi hapo pagumu..
 
Duuuuh usiombe mke atake mtoto na mwanaume unachukulia poa tu aiseeee wako tayari hata kugawa uroda hasa hasa kwa waganga ila kwako isifikie huko sijui mnawazaga nini....?
 
Kama huna Matatizo ya hormone imbalance na unapata siku zako kama kawaida utakuw auna matatizo mengine ya elimu ya giza. Kwamfano unaweza kuwa na pepo mchafu aka jini mahaba linakuandama na kukusesha wewe usiweze kupata mimba au mume wako sperm aka shahawa zake hazina nguvu ya kutungisha mimba. Ukikosa dawa humu jamvini nitafute kwa wakati wako ili niweze kukutibia upate kupona matatizo yako.
 
Kwa uchache japo nitapenda kusahihishwa pale nitakapokuwa nimekosea kwa kuwa sina utaalamu wa kutosha.

1. Ukubwa wa bao
Jipeni muda wa kutoshiriki tendo angalau wiki hadi waki mbili ili kusaidia kuhifadhi mbegu nyingi. Msaada wa vyakula vya kuongeza wingi wa mbengu ni muhimu pia.

2. pH ya uke
Ikiwa una kiwango kikubwa sana cha acid ukweni inaweza ikachangia kuua/kuunguza mbegu za mwenza wako. Jaribu kula vyakula venye alkaline kwa wingi.

3. Mkao wa kumalizia wakati wa tendo.
Missionary style(kifo cha mende) ni style nzuri sana inatakayoruhusu mbegu zifikie shingo ya kizazi kwa wingi

4. Kumwagia mbali
Jamaa ajitahidi kumwagia ndani zaidi ili kupunguza umbali toka anapomwangia hadi kwenye kizazi
 
Upo mkoa gani?

Nifahamishe mizunguko yako mitatu ya mwisho ilivyokuwa, tarehe za kuanza na kumaliza, una pata kiasi cha gani cha damu (unabadilisha pedi mara ngapi kwa siku)?, Vitu gani vinaambatana na hedhi yako?
 
Pole sana Kama mimba inaingia alafu inatoka kuna dawa za Hormone za kunywaa ambazo zitafanya Uja uzito usitoke kirahisi pia kufanaya ovulation itokee na kufanya urahisi wa kutungisha mimbaa...!!

Kama jamaa anawapa wengine mimba bhasi na wewe utapata ila kama hana uwezo anauziwa bhasi hapo pagumu..

Naomba nitajie please
 
Kama huna Matatizo ya hormone imbalance na unapata siku zako kama kawaida utakuw auna matatizo mengine ya elimu ya giza. Kwamfano unaweza kuwa na pepo mchafu aka jini mahaba linakuandama na kukusesha wewe usiweze kupata mimba au mume wako sperm aka shahawa zake hazina nguvu ya kutungisha mimba. Ukikosa dawa humu jamvini nitafute kwa wakati wako ili niweze kukutibia upate kupona matatizo yako.

Yeye anao watoto
 
Kwa uchache japo nitapenda kusahihishwa pale nitakapokuwa nimekosea kwa kuwa sina utaalamu wa kutosha.

1. Ukubwa wa bao
Jipeni muda wa kutoshiriki tendo angalau wiki hadi waki mbili ili kusaidia kuhifadhi mbegu nyingi. Msaada wa vyakula vya kuongeza wingi wa mbengu ni muhimu pia.

2. pH ya uke
Ikiwa una kiwango kikubwa sana cha acid ukweni inaweza ikachangia kuua/kuunguza mbegu za mwenza wako. Jaribu kula vyakula venye alkaline kwa wingi.

3. Mkao wa kumalizia wakati wa tendo.
Missionary style(kifo cha mende) ni style nzuri sana inatakayoruhusu mbegu zifikie shingo ya kizazi kwa wingi

4. Kumwagia mbali
Jamaa ajitahidi kumwagia ndani zaidi ili kupunguza umbali toka anapomwangia hadi kwenye kizazi

Mikao yote tunafanya pia anamwagia karibu zaidi
 
Upo mkoa gani?

Nifahamishe mizunguko yako mitatu ya mwisho ilivyokuwa, tarehe za kuanza na kumaliza, una pata kiasi cha gani cha damu (unabadilisha pedi mara ngapi kwa siku)?, Vitu gani vinaambatana na hedhi yako?

July nimeanza tar 14-18
August nimeanza leo
Pads navaaga 3/4 kwa siku
Kiasi naona ni kawaida tu sio nyingi sio ndogo
Damu tu nyekundu basi mwishoni unatoka uchafu wa brown
 
Wasalaam jf

Naombeni mnisaidie nini shida

Nilianza period 14th July up to 18th July nikakutana na Baba chanja tar 21 na 26, period cycle ni 28 days. Hadi leo sijapata period nimepima mimba sina

Na je Kuna uwezokano wa kutopata ujauzito wakati hauna tatizo lolote? Ute ute wa ovulation day napata, period naingia vizuri tu

Kula nakula vizuri tu nafanya mazoezi pia kwa siku nakunywa maji lita 3.

Style zote tumemaliza lakini sipati

Nilipata ujauzito ukatoka, mwenzangu ana watoto
wawili tayari

Nisaidieni naham kweli ya kupata mtoto

Na je Kuna vitu let say dawa mwanaume anaweza kutumia ili asimtungishe mimba mwanamke?? Maana anapiz ndani lakini ni miezi7 Saba sasa na mwenzangu anaonekana hajali
Wengne sijui tumeubwaje yaan nikipic tu bila codom huyo mwanamke lazima ateme chini
 
Back
Top Bottom