Nondo za Ujenzi

killo

JF-Expert Member
Jul 13, 2008
401
94
Mhusika tafadhali naomba ufuatilie swala hili kwa umakini.
Nondo za ujenzi ni muhimu sana na hasa pale inapokuja wakati wa kumwaga zege kamilifu lakini.

Kuna habari inayoendelea mtaani ( kutola kwa mafundi waashi ) kwamba ukinunua nondo ya size yoyote na kuipima urefu utakuta imepungua kati ya futi 1-3, mhusika tbs tafadhali tuangalizie hili
 
mkuu siyo ukisikia mimi imenitokea kawaida ya nondo huwa ni futi 40 lakini nilipo pima nilikuta 28na cementi huwa ni kilo 50 nilipopima nikakuta 45 au 46, ukinunua bati uwana kuchanganyia mfano gaji 30 na 32 hivyo kwa wanao talajia kujenga kuweni makini...nchi hii ni ufisadi kila kona
 
Back
Top Bottom