nokia release n1 androids 4.0

Officially ni device za ^3 ambazo nyingi ni symbian ana ndo unazi upgrade kwenda symbian belle. Mfano n8

Ila unaweza change appearence ikawa kama belle kwa device za nyuma kama s60v3 na s60v5 sidhani kama application inawezekana.

To be honest belle ni os nzuri sana tena sana sema tuuuu nokia wao sio wamarekani developer wanawatupa mkono mpaka nokia wameamua kuopt wp7

Chief hivi files za .SIS na .SISX zinaweza kuwa installed in Belle OS?? coz nina tons of s60v2 & s60v3 apps in my stock, and nataka nivute kitu cha BELLE.
 
Dah we una mawazo kama mimi kwa nnavojua app za s60v2 hazikubali ila za s60v3 nyengine zinakubali na nyengine hazikubali ila nyingi meona zinakubali hii ni kawaida bila kuhack au kutumia any emulator.

Sjajua kama kuna emulator ya s60v3 but am sure imetoka emulator ya window phone kwa symbian belle now unaicustomize belle iwe kama wp7. Hapo ndo napoipendea nokia app chache emulator nyingi mwisho wa siku app nyingi
 
xo then hv hii nokia n950 vp... Maana naskia not released commercial only for developers xo hapo inakuaje... Na kuhusu tz naskia kuna watu wanazo wanazpata vp...
 
Yaan hapa ni kama mnaongea kichina.
 
xo then hv hii nokia n950 vp... Maana naskia not released commercial only for developers xo hapo inakuaje... Na kuhusu tz naskia kuna watu wanazo wanazpata vp...

mkuu nlivoskia zipo 250 tu na wamepewa developers tu, n950 inafanana na n9 sema 950 ina qwerty keyboard. Hii simu ni ngumu kama wewe sio developer hutaipenda na kama kuna mtu anayo ni dili
 
Back
Top Bottom