Nokia pc suite : Phone authentication fail in bluetooth connection!

sijui nini

JF-Expert Member
Sep 29, 2010
2,553
1,285
Wadau naombeni msaada wenu..kila nikijaribu ku connect nokia yangu ya 6233 kwenye pc kwa kutumia bluetooth inaenda mpaka kwenye kuingiza passcode ila nikishaingiza inaleta hiyo message hapo juu kuwa authentication fail ingawa nikiconnect moja kwa moja kwa kutumia bluetooth utility inakubali kama kawaida...!msaada pliiz!!
 
Back
Top Bottom