Unga wa Kitarasa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 398
- 99
Nimekuwa nikitumia vizuri saaana tatizo limejitokeza tuu..,Baada ya ya ku-update operating system mpaka sasa hivi haitachi. Msaada kwa anayejua wakuu..!!
Nashukuru kwa uwepo wenu wakuu, ni hivi nina Nokia lumia 620 yenye windows 8.0 nilikuwa naitumia vizuri hapo awali lakini kuna notification iliniletea kuwa ni upgrade kwenda version 8.1 nilifuata hatua zoote then baada ya kudownload na ku-install new version ilinihitaji ni-reboot baada ya ku-reboot mpaka sasa hivi touch screen yake haifanyi kazi wadau. Shida yangu ni hiyo tuu...