TZ biashara
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 523
- 107
Nokia 2610 zilizotumika zinauzwa kwa jumla na zimefunguliwa kutumika ktk network yoyote.Simu hizi zipo ktk hali nzuri na zinafanya kazi lakini hazina charger kwahiyo mauzo ni simu peke yake.Hazipo nchini bado zipo Uingereza lakini nategemea mzigo utafika mwezi ujao na kwa order yako tafadhali wasiliana na Habibu 0717810318.Bei ya simu ni Tsh 45000 x 10 =450,000
Naweza kupata zaidi.Zipo aina nyingine kama SONY ERICSSON T610i bei ni 50000 x 10 =500,000
SONY ERICSSON K700i 60000 x 10 =600,000
Naweza kupata zaidi.Zipo aina nyingine kama SONY ERICSSON T610i bei ni 50000 x 10 =500,000
SONY ERICSSON K700i 60000 x 10 =600,000