Eshacky
JF-Expert Member
- Apr 26, 2011
- 965
- 244
- Thread starter
- #41
mtumie vocha......
Ila mmmh wiki mbili hataa hashtuki? Mkuu chunguza, usikute kuna mjanja anakusaidia
ha ha ha! Umenikumbusha, nilim2mia vocha 2chat, naona kmya kumcall, ananite "sorry bby nilikuwa na deni kumbe".
Khe kumbe unakopaga.. So uliwacliana na nan? Kimya......!! Cz hata kunibeep???!!