No sensa

Kwa nini isitangazwe kwamba wakati wa zoezi la sensa serikali itatoa ubwabwa, pilau, kashata na kahawa? Hiyo ni mbinu pekee itakayowavuta hao jamaa.


Taarifa kutoka chanzo Muhimu zinasema kuwa ktk kikao cha Mashekhe na mzee wa Kaya kilichofanyika Juzi Ikulu, Mashekhe waliwekewa Mezani shilling BILLION 5 ili warud kuja kuwaamasisha Waislamu washiriki sensa.

Lkn Jopo la Mashekhe WALIKATAA KUUZA UISLAMU WAO KWA TAMAA ZA KIDUNIA.
...
Mapambano ya kudai HAKI NDIO KWANZAA YAMEANZA.

HAKUNA SENSA BILA KIPENGELE CHA DINI.
 
[h=6]<H6 class=uiStreamMessage data-ft='{"type":1,"tn":"K"}'>CHADEMA UNAFIKI HUU UTAKIGHARIMU CHAMA CHENU
Tunakusikieni mnalitetea mwanahlisi lifunguliwe huku mkiitaka serekali ilifungie gazeti la Annur na redio imaani za kiislam kwa sababu linaisema CCM kwamba inalipendelea kanisa.
jee chadema inapinga ccm kusemwa vibaya na vyombo vya habari vya kiislam au wanpinga vyombo hivyo kuhusisha CCM na kanisa?

</H6>
[/h]
 
[h=6]swali: lengo la sensa ni kutaka kujua idadi ya watu ili serikali ijue namna ya kuwaletea maendeleo wananchi, sasa kama mambo madogo tu imeshindwa itakuwaje mnataka kujua maendeleo ya zaidi ya watu milioni 40?
jibu: sio kweli kwamba serikali imeshindwa kuleta maendeleo, ona kila mwananchi ana sim ya mkononi, hizi suti tunazovaa ni maendeleo haya..........................<WBR>.
HAYO NDO MAJIBU YA MTAKWIMU MKUU WA SERIKALI.
source: TBC1 ilikuwa live juzi

[/h]
 
uzuri wa haya mambo mkishamaliza kulalamika na sensa ikipita maisha yanaendelea km kawa..........tunarudi kulalamika kuhusu baraza la mitihani na vingine,........fanyeni kazi,jengeni shule,hospitali wenyewe mtaacha malalamiko maana mtakuwa busy.
 
Back
Top Bottom