No need of supersports tena kuangalia live game all over the world.

networker

JF-Expert Member
Apr 23, 2011
570
215
jamani kama unataka kufaidi live games all over the world iwe ligi ya uingereza, ligi ya brasil, soln hii hapa binafsi nime angalia game nyingi sana.

1= fungua http://www.tzdownloads.blogspot.com tafuta veetle tv plugin chini kuna link ya kudownload itakutake kwenye ukurasa
mwingine chagua regular then follow instructions ili kuidownload .hii itakusaidia ili uweze kuona.ina patikana hata google
2= install
3= afu nenda kafungue www.livetv.ru
itafunguka lugha ambayo haieleweki angalia juu kulia utaona bendera ndogo ya england bonyeza itafunguka kwa english language

tafuta neno football mandish makubwa kama hiyo hapa chini
1.gif
Football

zita funguka list nyingi ya table na time zitakazo chezwa
zenye neno live ya rangi nyekundu ndizo zilizo anza au zinachezwa kwa muda huo na kuoneshwa
bonyeza hiyo live itafunguka afu uta ona kitu kama hichi hapa chini chagua moja wapo ukiona inazengua chagua nyingine
Streams directly viewable in browser
#1 WebCastOn
#2 ZoneIn

Streams viewable using external software
#3 SopCast
#4 SopCast
#5 SopCast

ita funguaka kurasa mwingine wenye player yako ita anza kuonesha .
nime angalia game nyingi sana nimeona leo ni share na wabongo wenzangu 1oo % guarantee
KWA WATAKAOSHINDWA KUDOWNLOAD KUTUMIA HIYO BLOG LINKI NYINGINE HII HAPA http://hotfile.com/dl/124689810/f80843a/veetle-0.9.18.exe.html
 
mkuu wewe ni mgeni wa hizi wbsite? quality ya supersports(tv) huwezi kuifananisha na hivi za kwenye net

umedandia treni kwa mbele chaliangu siku manisha quality nime manisha free to access alot of games ndio mana kuna neno all over the world .kingine ziko live streaming ambazo ni HD kama hujui take your time kuangalia ustream uniambie kama quality yake mbaya.kuna streaming url kibao wanakpa option zenye different quality ..

sikatai dstv its good lakini kama ulikutana na quality mbaya sorry for you try this afu utaniambia
 
yah mnaongea kweli but naamini wote hamna network yenye speed ya kuangalia hd, kama dk 4 yafika mb 80 imagine download speed inayohitajika atleast 400kb/sc ambayo haishuki, si tigo, voda wala airtel wenye nayo na ni wifi chache zinazoweza fanya hivo. Ambazo nna uhakika ni ghali kuliko gharama ya supersport kwa mwezi.
 
jamani mnitoe ushamba, sasa ukitumia hii web hadi mpira ukaishe cutakue ume2mia mb nyng sn? Kfup cost zake zikoje?
 
yah mnaongea kweli but naamini wote hamna network yenye speed ya kuangalia hd, kama dk 4 yafika mb 80 imagine download speed inayohitajika atleast 400kb/sc ambayo haishuki, si tigo, voda wala airtel wenye nayo na ni wifi chache zinazoweza fanya hivo. Ambazo nna uhakika ni ghali kuliko gharama ya supersport kwa mwezi.
Veetle player or Veetle links, zote ni HD, nikiwa na TTCL Banjuka iko poa, hata mechi ile brazili walikosa penalti 4 nilikuwa napata kitu live in HD. Player nyingine ya nguvu ni VShare.
 
jamani kama unataka kufaidi live games all over the world iwe ligi ya uingereza, ligi ya brasil, soln hii hapa binafsi nime angalia game nyingi sana.

Thank you so much. Kidude cha Thanks hakionekani mimi nimeweza
 
Nimeifutilia, imekubali ila tatizo nililo nalo mimi ni kuwa speed ya internet yangu yaonekana kuwa ndogo hivyo mawasiliano yanakatika katika. Nadhani tatizo hili litakuwa la wengi.
Kama nikiweza kuongeza speed kwa gharama ndogo then afadhali hii. Kama kuna anayejua namna ya kuongeza speed the atujuze.
Thanx
 
kaka embu jaribu bundle ya 2500 kwa week ya tigo au airtel mi natumia hyo bila kukuatika katika. na moderm ni zakawaida tu ya tigo zilizoko mtana .kinkine ukiona link mmoja ina sumbua jaribu nyingine.mi spati tatizo kabisa kaka
 
Cha msingi tukushukuru wewe uliyetupa hizo link ili nasi tusioweza kuwa na access na DSTV tuweze kufaidi hayo mauhondo. Hayo mengine baadae wakuu.
Nakubaliana kuwa quality pia inategemea na ukamavu wa kusearch hizo link, kama ni mvivu utakutana na link zinazoumiza macho tu unakata kona.
 
Mkuu unataka serikali isikusanye mapato yake? halafu mi na familia yangu tujikusanye kwenye laptop badala ya kukaa kwenye kochi kuona kupitia plasma? Hebu tuache ubabaishaji, kama huwezi lipia premium basi lipia hata family uangalie picha za kinigeria na family yako na kuingizia nchi mapato kidogo...
 
uko gizani, kodi yako inakunufaishaje. ukiweza kuitumia akili yako vizuri mara nyingi, utatambulikana hata kwa maswali yako, kinyume chake unatia mashaka.
 
Mkuu unataka serikali isikusanye mapato yake? halafu mi na familia yangu tujikusanye kwenye laptop badala ya kukaa kwenye kochi kuona kupitia plasma? Hebu tuache ubabaishaji, kama huwezi lipia premium basi lipia hata family uangalie picha za kinigeria na family yako na kuingizia nchi mapato kidogo...
kijini kwenu kuna plasma? usijikatae kiasi hicho!! maujanja haya hayawahusu wenye plasma na ac za epa + posho za vikao
 
Mkuu unataka serikali isikusanye mapato yake? halafu mi na familia yangu tujikusanye kwenye laptop badala ya kukaa kwenye kochi kuona kupitia plasma? Hebu tuache ubabaishaji, kama huwezi lipia premium basi lipia hata family uangalie picha za kinigeria na family yako na kuingizia nchi mapato kidogo...
Kama una LCD tV na laptop kama unavosema....nunua vGA cable utakaokuwezesha kuconnect pc yako na LCD televishen yako bila shida yoyote na ujikusanye na familia yako muenjoy free games kama anavosema networker
 
BIG UP MKUU kitu cha uhakika ichi kabisa tehe tehe! kwa uhakika zaidi unga net ya tigo ya speed ya hali ya juu hao pekee ndo uhakika kuchek kitu bila kuganda ganda wakati wowote lakini tigo kwa DAR 2... lakini airtel pia unachek lakini speed haiko juu wakati wowote ni baadhi ya muda kama mchana na asubuhi sana speed iko juu na unachek kitu dakika 90 HD swafi kabisa na veetle.... vile vile namie nimeona vyema niongeze baadhi ya website ya kuchek tv ambazo ni adim sana au ni bei ghali kuangalia pia kwa kuangalia live channel pia kama Sky Sport 1, Sky Sport 2,Sky Sport 3, Sky Sport 4, Sky Sport News, Eurosport 1, Eurosport 2, ESPN apa MyPremium.TV... ok ok na kwa channel zingine mchanganyiko tembelea apa FreeTvAll.com - Watch Free All Live Tv Channels Online Anywhere - Watch and Broadcast Live Tv Channels Online on Internet (Powered by FreeTvAll) pia LiveTvCafe.net - Watch Live Tv Channels Online Free - Watch and Broadcast Live Tv Channels Free Online (Powered by FreeTvAll) na hii kwa wale wapenz movie za kihindi apa ndo penyewe Watch Live Tv from Usa,Live Tv streaming in India,Watch Online Hindi movie only on sid4u.com - www.sid4u.com (Powered by ClipBucket).. ok ENJOY!!!
 
kaka embu jaribu bundle ya 2500 kwa week ya tigo au airtel mi natumia hyo bila kukuatika katika. na moderm ni zakawaida tu ya tigo zilizoko mtana .kinkine ukiona link mmoja ina sumbua jaribu nyingine.mi spati tatizo kabisa kaka

Vipi kuhusu gharama? kwa mechi nzima MB ngapi zinakwenda?
 
Back
Top Bottom