Mkuu pole sana .Usishangae ya Tanzania .Hawa jamaa wana madai mengi na ni mzigo wa Dunia so wewe twende nao hivyo hivyo .Shule kaka inawapa taabu .Wape pole a hayo ni makelele tu .Hawana lolote maana wakipiga kelele sana na kuanzavurugu sheria ileeee ipo .Na Pengo na wengineo hawana muda wa kuwajibu maana hao wana upeo limited wa kuelewa .Waache tu ili mrad wasianze vurugu .
Unanikumbusha wakati wa utmwa ambapo Wazungu walikuwa hawataki Black America (slavery) waende shule. Matokeo yake, walipoanza kwenda shule wakaanza kuuona ukweli kwamba walinyimwa elimu kwa sababu ya rangi zao.
Mapinduzi ktk Egypt, Tunisia, ambazo hizi nchi zilikuwa zinasaidiwa sana na West kupinga Waislamu wasiwe na sauti kwa kutumia viongozi Madictator kama Mubarak ili kuwakandamiza Waislamu. Leo tunaona Waislamu duniani wanaanza kuuona huo ukweli.
Waislamu wa TZ wameanza kuuona ukweli. Mapinduzi yanakuja, sasa hivi ni kusuburi wakati tu.