Green Apple
Member
- Feb 2, 2012
- 84
- 10
Msaada wadau natumia samsung note lite shv-e160l lakn toka ninunue texts znaingia bila namba zote na znajisave ktk thread moja named no caller id as if namba hazjasevia.....na siwez kujibu hzo text mana hazna namba nabhuwezi jua nan katuma msaada ndugu