No body is wearing a helmet, why!

Salamander

JF-Expert Member
Dec 7, 2012
28,538
15,739
c15524640abbe5413c831db134fb53e6
 
Hivi kuna mtu amezitafute helmet?

Naona vile kama macho yanavutwa kwenye aina nyingine ya helmet...lol!!
 
Ama kweli cha mtu mavi yaani kwa raha zao na kwa kujinafas bila kinyongo na raha zao za dunia na bila ya woga wa matrafik
 
Watu wanapata ajali kwa kuvutiwa kuangalia warembo, walio nusu uchi.
Pamoja na kupetipetiwa na abiria hao wa kike.

Helmet siyo kigezo cha kuzuia ajali isitokee. Helmet itasaidia tu mtu asipasue fuvu lake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom