Nna sababu 100 za kutokumchagua Dr Slaa ikiwa atapitishwa na Chadema tena 2015

Dr Slaa hafai kuwa rais labda awe waziri mkuu. Akipewa urais ni sawa na kumpa rungu chizi. Uwaziri mkuu, apewe lkn siyo urais.
Ana hasira sana na roho ya kisasi imempagaa. Ajifunze upya.
 
Mkuu umeanza vizuri kabisa,maana wewe kama mpiga kura una uhuru wa kutoa maoni yako juu ya wagombea ambao wanatarajia kura yako.Lakini kama great thinker utakiwa kuwa unafahamu mambo yafuatayo:

1.Kupiga kura ni hiari ya mtu,kwa hiyo hata wewe hulazimishwi kumchagua mtu ambaye hujaridhika naye
2.Kwa mazingira yetu,wapiga kura walio wengi si wanachama wa vyama tulivyonavyo,hii ina maana kwamba hata yeye hachaguliwi na wanachadema tu,na kwa hiyo hii hoja yako ilifaa kupata majibu kutoka kwa wapiga kura badala ya kuomba majibu kutoka kwa wanachadema pekee.
3.Ulitakiwa kututhibitishia kwa uhakika kabisa kwamba Dr.Slaa ndiye atakayekuwa mgombea wa urais mwaka 2015,lakini pia kutokana na unafiki wake(kwa mtazamo wako),ulitakiwa kututhibitishia (kwa ushahidi) kuwa bado Dr.Slaa atakuwa bado ndani ya CDM au atakuwa katika siasa hadi wakati huo.
4.Wewe kwa upeo wako wa kuona mbali na mapenzi yako kwa watanzania,ulitakiwa utuambie mgombea mwingine(mbadala) ambaye wewe unaona anafaa kuliko Dr.Slaa.
5.Pamoja na kwamba inaweza kuwa vigumu kuthibitisha tuhuma zote ulizotoa dhidi yake,lakini ulitakiwa kututhibitishia utakatifu wa mgombea mwingine ambaye yeye hana uchafu kama wa Dr.Slaa.

Anyway,kwa kuwa umetoa sababu 5/100 tu,nami naomba niishie hapo kwenye hizo hoja zangu 5 maana mimi sio mwanachadema na hivyo sio kazi yangu kumsafisha Dr.Slaa huo uchafu(kwa mtazaomo wako) wake.Ila kama great thinker nitafarijika sana kama na wewe utazijibu hizo hoja zangu.

rejea kauli yangu ya mwanzo ina meneo yangu ya mwazo kuna maneno "IKIWA" ikiwa haiwezi kuwa na majibu mbdala kama unavyo taka wewe wa nani awe mgombea " ikiwa " inasimama kama condition tu na ikiwa akachaguliwa mwingn mwenye vigezo mtanzania mimi ntampa kura yagu
 
Hoja ya mleta uzi tunaiogopa kuijibu kwa kina na ueledi.Nakubali kua dr si mwadilifu na ni miongoni mwa makachero wa usalama kilichomleta ni kuhamonise stuation kwa maslah ya CCM.wapo wengi wanaofanya kazi kama ya kwake.ndio mana ukimwambia aichome moto kadi ya ccm yupo tayari kufa.yani kazi aliyoifanya mrema nani angeamini kama ni mamluki?wananchi.kwa.sasa hawana.imani na slaa ndio mana mikutano yake imekosa mvuto ukilinganisha na myika,msigwa ,zitto,na mdee.waliosalia hawana dira ya kukipa chama mbele ya watanzanha.kama hamuamini.fanyeni majaribio kwa kuwapa oparatiñ tofauti,kundi moja liundwe na zitto,mnyika,msigwa na mdee na kundi lingine liundwe na waliosalia then tuñe mwitikio wa wananchi hapo ndipo tutaamua kundi gani linapaswa kumtoa rais 2015.mambo ya mipasho hana mana be analytical.
 
rejea kauli yangu ya mwanzo ina meneo yangu ya mwazo kuna maneno "IKIWA" ikiwa haiwezi kuwa na majibu mbdala kama unavyo taka wewe wa nani awe mgombea " ikiwa " inasimama kama condition tu na ikiwa akachaguliwa mwingn mwenye vigezo mtanzania mimi ntampa kura yagu

Hey,relax mkuu.Twende taratibu.
Wewe umetoa sababu zako 5...na kwa hakika sijakukatalia,maana ni haki yako kikatiba. Sasa,je,nikishafahamu hiyo "ikiwa"ndio inakukuwa inajibu hoja zangu 5? Halafu mbona ulivyolitumia hilo neno liko wazi sana kiasi kwamba hakuna ujumbe mwingine uliojificha ndani ya sentensi ile? Binafsi sioni kama is a big deal kwa great thinkers kuanza kujadili neno moja"ikiwa",kwani lina tatizo gani?
"IKIWA" ikiwa haiwezi kuwa na majibu mbdala kama unavyo taka wewe
Nadhani hapa sijakuelewa vizuri,kwani mimi nimekwambia nataka nini,mkuu? Na kama haina majibu mbadala kulikuwa na haja gani kuwataka hao wanaaojiita wanachadema damu wakujibu nini?
 
Hey,relax mkuu.Twende taratibu.
Wewe umetoa sababu zako 5...na kwa hakika sijakukatalia,maana ni haki yako kikatiba. Sasa,je,nikishafahamu hiyo "ikiwa"ndio inakukuwa inajibu hoja zangu 5? Halafu mbona ulivyolitumia hilo neno liko wazi sana kiasi kwamba hakuna ujumbe mwingine uliojificha ndani ya sentensi ile? Binafsi sioni kama is a big deal kwa great thinkers kuanza kujadili neno moja"ikiwa",kwani lina tatizo gani?

Nadhani hapa sijakuelewa vizuri,kwani mimi nimekwambia nataka nini,mkuu? Na kama haina majibu mbadala kulikuwa na haja gani kuwataka hao wanaaojiita wanachadema damu wakujibu nini?

kwani mkuu kama mwana chadema au CCM kuna tatizo gani kumjadidili mtu yeyeyto? Tena kwa uhuru huu wa kusema na kusikilizwa?
Tataizo ni kujadiliwa Slaa au tataizo ni wasifu wa Slaa kwa anavyo onekana kwa njee na watu ? Na kama sio wewe basi mimi au wengne?
 
Sawa mkuu nimekuelewa.
Jibu basi hoja zangu.
 
MAWAZO HURU
Kwa leo ntataja 20 ila kwa sababu Watnzania sio wapendaji wa kusoma mambo mengi leo ntataja sababu 5 tu

1 Ana UCCM ndani ya damu yake ukiachilia mbali kuwa ana kadi mbili kitu ambacho hata yeye alikili pili yeye akiwa mbunge wa chadema mke wake yulee alikuwa ni Diwani wa CCM kwa hiyo CCM kwake sio haram kama anavyo taka kuwaaminisha wengne

2 Dr slaa ni mzee sana 2015 atakuwa amechakaa sana apumzike kwa roho safi tu abaki kuwa hazina ka chama nchi yetu kwa sasa ina chnagmoto nyingi inahitaji kukimbia kimbia huku na kule

3. Ikiwa aliweza na kuthubutu kusaliti kiapo cha useminary cha kuwa upadri maish yake yote atashindwaje kuislati nchi yetu na wananchi wake?

4. Dr slaa ni mtu mwenye kisilani na mwenye kulipizia -- siasa ni pamoja na kuvumiliana yeye hili limemshinda
Mkeo kala leo?
 
Tatizo lenu maendeleo ya nchi hii aua tatizo lenu CCM wananchi wanawashngaa mnavyo ipandia CCM ili muweze kupata umaarufu wata hawajasahau CCM ilivyo wapa amani na utulivu hata kama namlazimisha kuchochea mavuru ,watu wanaoana barabara zinavyo jengwa hata wengine nyinyi mmesomeswha na CCM hiyo hiyo ndo maana wengn wana kadi mbili mbili

Mama yangu! Umeandika nini hiki sasa!?
 
Asante tumeona bhana tushaona kuwa hata wewe unajua kutype!
 
Haya pandikizi basi tushaona kuwa hata wewe unajua kutype!
 
Tatizo lenu maendeleo ya nchi hii aua tatizo lenu CCM wananchi wanawashngaa mnavyo ipandia CCM ili muweze kupata umaarufu wata hawajasahau CCM ilivyo wapa amani na utulivu hata kama namlazimisha kuchochea mavuru ,watu wanaoana barabara zinavyo jengwa hata wengine nyinyi mmesomeswha na CCM hiyo hiyo ndo maana wengn wana kadi mbili mbili
Are you crazy?
Amani na utulivu ya/wa Tanzania si matokeo ya CCM bali ni utashi na busara ya wananchi kwa ujumla ambayo sasa imefikia ukingoni...Zamani wananchi walidanganywa,waliibiwa rasilimali bila kujitambua,na hata kama walijitambua hawakuweza kudai na kutetea haki zao-tofauti na sasa.

Barabara hazikujengwa na CCM zimejengwa kwa kodi na nguvu kazi za wananchi wa Taifa hili-Serikali yoyote au kiongozi yoyote anaweza kusimamia maendeleo ya taifa hili na si CCM ya mafisadi.

Sijasomeshwa na CCM,nimesomeshwa na wazazi wangu waliowajibika na mwisho bado wakakandamizwa na liCCm lenu...bila ujambazi na ufisadi wa CCM wananchi tungekuwa tumepiga hatua kubwa kimaendeleo-niamini.

Tatizo CCM inataka kutumia mbinu za ufisadi na ujambazi wa mwaka 47 kwa kizazi hiki cha 2000s...hamtaweza,hadi mng'oke na mizizi yenu.
 
Sawa mkuu nimekuelewa.
Jibu basi hoja zangu.

1 kupiga kura ni hiari ya mtu nakubaliana na wewe lakini hilo haliondoi kumjadili yule anaye taka kupigiwa kura kama kakidhi vigezo sio la maajabu vile vile na ndo utaratibu wetu ulivyo uza sela ununulike au vingne

2 Nimewaita wanachadema kwa sababu Dr.slaa ni katibu mkuu chadema lakini pia dhima na taswira ya chadema iko mikononi mwa wananchadema na viongozi wake sasa kama kuwauliza watanzania wote inawezekana nkawa nawaonea pengine mfn ntamuulizaje mwana CCM kuhus kumpigia kura Dr.Slaa?

3 Udhibitisho wa kugombea Dr Salaa 2015 ni minong'ono ambayo ipo siku nyingi tunasubili wakati tu na kamwe hatupaswi kuipuuzia

4 .Mgombea mbadala hiyo ni kazi ya chama mimi nimetoa maoni yangu kama mpiga kura

5 Hizi sio tuhuma wala sijamtuhumu kama kuna kitu alikifanya ambacho hakiko wazi pengine kinahitaji ushahidi hizo ni wasifu wake au CV yake tuhuma ni kumbambika mtu kuhusu kitu ambacho huna uhakika nacho lakini kuwa na kadi mbili na hiyo ni tuhuma?au mke wake kuwa ccm ?
Pengn namheshim saana Dr slaa kuliko hata wewe lakini pia naiheshimu nchi yangu isije kuwa danguro la viongozi hovyo na wakti tulijua mapema hilo
 
Laabda niongezee kidogo Dr ikiwa kaweza kuchukua mke wa mtuu na kuvucha amri ya mungu atashindwa vipi kufanya mambo mengi ya kizalimu atakapopewa madaraka Mimi naona Dr hafaiii kabisa hata kupewa ubungo Yani chadema itakapo shinddwa kumsimamisha zitto na chama chenyewe kinakufa kabisa
 
hapa umefananisha mkuu aliyopo madarakani na ajaye sasa jamaa hataki kabisa watu wa kisilani na kulipiza visasi...so hataki kikwete wala slaa.
 
Back
Top Bottom