kuna dada nilimsindikiza kufanya ultrasound mimba yake ikiwa na wiki 12/miezi 3.Alivyomuona mwanae kwenye screen akafurahi hadi machozi yakamtoka.Yaani ni miezi mitatu lkn anaonekana ni mtoto kabisaa.Alikua na furaha saana,na alikua anatuambiaga hiyo ndio mimba yake ya kwanza.Hapo hospital wakampa kijitabu kinachoelezea jinsi mtoto anavyokua huko tumboni ktk kila miezi.Basi akawa anasoma sehemu inayoonesha uwezo alionao mtoto wa miez mitano huko tumboni,kijitabu kilionesha kuwa mtoto wa miez mitano ni mtoto aliyekamilika karibu kila kitu na pia anauwezo wa kuisikia sauti ya mama yake na kuikumbuka.Sasa huyu dada alipofikia hapo akaanza kulia kwa uchungu sana.Akaniambia alishawahi kutoa mimba ya miez mitano hivyo roho inamuuma kujua kuwa kumbe aliua mtoto aliyekamilika kabisa maana eti yeye alijua mimba ya miez mitano kwenda chini ni madamu damu na manyama nyama tu.Kwa kweli nilijisikia vibaya na huyu dada hakuwahi kuniambia hii siri ila damu ya yule kiumbe aliyemuua inamfanya aanze mwenyewe kusema kuwa alishaua mtoto.
lizzy nikuulize kitu?
Una mimba? Maana thread za mimba hizi mmmmh!!???
Wifi huyo alikuwa kiboko lol...hana aibu kumsingizia mtu mimba?..afu ya miezi mingi hivyo khaaa.
kapata kiblazameni sasa anajiuliza akipata mimba atafanya nini hilo ndio dhumuni la nyuzi hizi..
Losambo nimekupata babaangu. . .
Hehehehehe. . .Yani mpaka Sioi ukamuacha kisa Lizzy 'ana mimba'?! Nipe zawadi kabisa basi.
Alafu na mie nakuja kupiga kura.
Ukakataa mpaka leo na kesho au ulijirudi?
Mbaya sana asee! Bora ulistuka mapema.Saa hii ningekuwa na kakijana ka yule jamaa pale head office yetu nampelekea mwanae ile shule ya kiinglishi huku yeye ananicheck tu!
Wife akiwa ana mimba huwa na furahi tu, uwezo wa kumlea mtoto ni nao, sababu za kumzalisha mke wangu nazo, niya ya kumzalisha watoto wengine ninayo, na uwezo wa kuoa mke mwingine azae kama wife ninao :cool2:
Mbaya sana asee! Bora ulistuka mapema.
kapata kiblazameni sasa anajiuliza akipata mimba atafanya nini hilo ndio dhumuni la nyuzi hizi..
Haijalishi uliikimbia, mliishia kutoa ama mlilea. Siku mwenzio alipokwambia "Nna mimba". . . "Nahisi/nadhani nna mimba!" ulijisikiaje?
Na wewe mdada/mama ulipogundua/hisi una mimba ulijisikiaje?
Mawazo gani yaliwapitia kichwani??
Just CURIOUS. . . .
what a wonderful day will be if that will happen to me!!!!!
baada tu ya kusex nikamuambia inawezekana nikapata mimba hizi tarehe sio nzuri, akavaa suruali chapchap akaondoka bila kusema neno, na toka siku hiyo hakupokea simu, na mimi baada ya hapo nikapitia pharmacy nikanunua vidonge fulani hivi vya kuzuia mimba, sikupata mimba, baada ya miezi miwili ya bila mawasiliano jamaa akanipigia simu akinitaka tuonane aili anipeleke kwa doctor anaye mjua ili nitoe mimba, nilimkubalia ila sikwenda na nikabadili line ya simu,mapenzi yakaishia hapo
siku hizi tunaonana ila hajui kma nilizaa au ilikuwaje kwa ile mimba nlomwambia