matungwabengesi
Member
- Aug 11, 2016
- 12
- 6
Wadau NMB wamenipigia simu jana mchana kwaajili ya interview ya Bank teller lake zone...Mwenye uzoef naomba hints kidogoo zinavyokuwa interview zao..Asanteni na Mungu awabariki.
Lake zone?au Central zone.. Hapo in maswali ya ufahamu tuWadau NMB wamenipigia simu jana mchana kwaajili ya interview ya Bank teller lake zone...Mwenye uzoef naomba hints kidogoo zinavyokuwa interview zao..Asanteni na Mungu awabariki.
Kwa mujibu wa alienipigia simu alinambia ni lakezone mkuu..Lake zone?au Central zone.. Hapo in maswali ya ufahamu tu
Poa poa mkuupitia videsa vyako vya chuo
Hahaha...mjeda unajibu ili mradi umejibu tu...hahaha!!! Haya bhana N. Chief!!!pitia videsa vyako vya chuo