Njoo tukumbushane maneno ya kizamani

Viatu vya enzi hizo
1.Losso
2.DH
3.chachacha
4.la kuchumpa
5.mokasini
6.ndala za bora
 
Ng'ang'a -Mbwa.
Danga Chee - Dukinaa
Chelea Pina.
Mapepe_Waluwalu
Don't Touch
Doli doli doli samwela.
Ugoko
Msolopa Ganzi.
Dekshia.
Kata funua.
Ngangari.
Msebenzo.
 
Kukitoa -kuondoka
Kutia vidudu -kupendeza
Kuzimika -kulewa sana au kufa
Msonjo -msomali
Kugida -kunywa pombe
Kuingia kizani -kupotea
 
images (1).jpeg Gwangala
 
Back
Top Bottom