Njia panda imenikuta

NAFIKIRI UENDE KWA KIONGOZI WAKO WA DINI ATAKUPA USHAURI MZURIIIIII SANAAAAAA AMBAO UTAUFURAHIA KAMA SHIDA YAKO NI USHAURI WA KWELI :behindsofa::behindsofa::behindsofa:
 
Kifupi binti ni black beauty na binamu ni white but so cute mama ni maji ya kunde kabeba zigo hilo nyuma! so wote wanavutia sana kumtamanisha kila mwanaume naona binti yake ananifaa zaidi! ni mrembo sana mwenye rangi ya asili nywele ndefu na za asili karibia kila kitu kwake ni cha asili nampenda yeye!

Ukicheza utaishia pabaya tena sana kuwa na msimamo kama ni binti mueleze ukweli na hao wengine wachane live kuwa na maamuzi ya kiume bhana koz umeshasema ni matajiri so wakisanukia huo mzunguko watakufanya hamna, msimamo but kama uko after money hapo hapakufai tafuta kwingine lakini kama kweli unampenda huyo binti simama na msimamo kwa lolote lile na wote wajue umpendae. be a man enough in your decisions.
 
wewe umechanganyikiwa na umelaaniwa...kitendo cha kuwa hujielew na huna msimamo inaonyesha wewe ni mnafki na betrayer...kwanini usichague mmoja ehh kilichokushinda nini au unataka kujionesha kuwa unapendwa sana na hao wanawake...huna msimamo,real men always have one woman let me tell u....utaungua na :A S-fire1: na :hatari: kinakusubiria kwa adamu mbaya......wakimbie wote uanze afresh :focus::focus:
 
gold member?? neno kama hili??

unaanza kuleta madaraja sio?

kwan kuna comment tofaut kwa Tanzanite member, gold au bronze member na pia jf member?

au ulijua mtu akiwa Gold, bronze au Tanzanite anakua anafikiri kwa kutumia pua?
badilika ......... mzigo
 
Umezoea kutoa unafikiri hata wanaume tunatoa si ndio? secta ya kujibu wa.jinga kama wewe sijambo. Kama unaweza jibu uone nimekualika kuchangia au kiherehere chako lione li Pug hili!

wewe ndo una kiherehere cha kuleta ulofa wako humu ungepeleka PM kama hukutaka nichangie,ndio maana liko njia panda son of the bitch.
 
wewe ndo una kiherehere cha kuleta ulofa wako humu ungepeleka PM kama hukutaka nichangie,ndio maana liko njia panda son of the bitch.
kumpa mtu wa aina yako ujumbe ni kama kujikata miguu au kujitia shida!
 
Back
Top Bottom