Njia alizotumia Mchechu kuongoza NHC zilikuwa batili. Shirika lilitakiwa liwe limekufa mapema

IAS 16 inahusu vipi Investment Property? Unadhani unazijua sana IFRS kuliko watu wa CAG? Statements zipo clear zinaongelea kuhusu Investment Property (IAS 40) na sio PPE (IAS 16). And by the way hata iyo IAS 16:39 would have resulted kwenye same treatment. Principally double entry ya kuaccount for gain on revaluation ingekuwa na two way effects (one on incomes na ya pili kwenye respective asset)

Go and do your home work kuna vilaza watakuona mkali kumbe hakuna kitu.

While I agree with you on some aspects, ukweli unabaki pale pale: operating costs zinazidi operating revenue. Hiyo "faida" inapatikana tu ukifanya revaluation. Leo hii hiyo "gain" ya miaka ya nyuma itakuwa wiped out na revaluation (ambayo kwa sasa itakuwa na downwards trend maana hizo investment property ni magofu tu sasa).
 
Embu chambua kidogo apo kwy mamilionea hawana property sijaelewa
Ni millenials(as a generation), not millionaires. Compare to baby-boomers(generation ya wazazi wetu wengi) they could afford buying land, build house(s), cars etc with their income something that is not easy with this generation unless ukakae ukingoni mwa mji. Property is not affordable for millenials in general, most are debt-ridden etc. Kuna so many theories as to why this a global phenomenon and not just a western thing, although the phenomen is more server in western world.
 
Alifanikiwa nini Mchechu?! si ndio maana akatunguliwa hadharani mchana kweupe kwa kuomba udhamini wa serikali ili akakope tena bilions wakati kashindwa kurudisha mikopo kibao, anajenga nyumba at over inflated prices on overpriced land parcels na hazipangishiki na wala hazinunuliki; kwa kutumia vikampuni fictitious vyake na nduguze ndio vilikuwa vinapewa tenda JPM akamtungua juu kwa juu! in fact it was a matter of time NHC ilikuwa itumbukie mtaroni; sishangai kusikia ina hali mbaya kifedha, lazima kuna mabenki lukuki yataporomoka nayo kwa sababu ya mikopo chechefu ya genious Mchechu!

Kumbuka Tanzania bado haina idadi ya kutosha ya watu wenye kipato cha kati (Middle income) wa kuweza kupangisha au kununua nyumba za Mchechu kwa bei zile na kwa kasi aliyokuwa akizifyatua genious Mchechu.
Angalia sasa uchumi wetu umesinyaa; watu hawana uwezo wa kupangisha au kununua nyumba hizo;
sijui pia kama Genious Mchechu labda alipanga Return on investment (ROI), ipatikane baada ya miaka 200; sijui!!!

Eti Mchechu alifanikiwa; my foot!
Wakiristo wezi sana !
 
Jamaa ni mwizi, ndio definition rahisi. Moja ya mbinu zake alikuwa na vikampuni pembeni ananunua ardhi kupitia hivyo kisha anauzia NHC.
Wajinga wengi huku Africa huwa wanawaza namna hii wakiamini umaskini wao unasababishwa na MTU aliefanikiwa hebu tuthitishie cha juu alichokuwa anapokea kwenye hiyo miradi
 
Jamaa yako mpigaji tuu, mikutano ya kiofisi anafanyia Dubai ! Ushamba pia alikuwa nao.
Wapuuzi wakubwa no creativity wanaishia kuhamisha umbumbumbu wao kwa mchechu jamaa na timu yake walikuwa wanafanyakazi wakiwa huru hao waliopo mpaka wapate maelekezo kutoka juu what do you expect
 
Wana JF,

Watu wengi walikuwa wanamwona Mchechu kama ameweza sana kuliongoza shirika hili bila kujua kuwa limeendeshwa kwa hasara muda mrefu.

Mchechu alikopa sana mabenki kuwekeza kwenye sehemu ambazo hazina mvuto.
Alikuwa mtu wa ovyo sana.
Mikopo alinufaika nayo binafsi kwenye 10% za ujenzi
Hakuna kitu kilinikera kama kujenga ghorofa mpya Ubungo na Keko kwenye nafasi kati ya majengo ya zamani. Zilikuwa parking spaces au leisure areas. Sasa hata zima moto haiwezi kupita.
 
Alifanikiwa nini Mchechu?! si ndio maana akatunguliwa hadharani mchana kweupe kwa kuomba udhamini wa serikali ili akakope tena bilions wakati kashindwa kurudisha mikopo kibao, anajenga nyumba at over inflated prices on overpriced land parcels na hazipangishiki na wala hazinunuliki; kwa kutumia vikampuni fictitious vyake na nduguze ndio vilikuwa vinapewa tenda JPM akamtungua juu kwa juu! in fact it was a matter of time NHC ilikuwa itumbukie mtaroni; sishangai kusikia ina hali mbaya kifedha, lazima kuna mabenki lukuki yataporomoka nayo kwa sababu ya mikopo chechefu ya genious Mchechu!

Kumbuka Tanzania bado haina idadi ya kutosha ya watu wenye kipato cha kati (Middle income) wa kuweza kupangisha au kununua nyumba za Mchechu kwa bei zile na kwa kasi aliyokuwa akizifyatua genious Mchechu.
Angalia sasa uchumi wetu umesinyaa; watu hawana uwezo wa kupangisha au kununua nyumba hizo;
sijui pia kama Genious Mchechu labda alipanga Return on investment (ROI), ipatikane baada ya miaka 200; sijui!!!

Eti Mchechu alifanikiwa; my foot!
Tatizo kubwa la baadhi ya watz hasa waJF ni mateka wa propaganda. Nyumba nyingi alizojenga Mchechu hazina wapangaji au wanunuzi. Wao wanaona nyumba za Dar basi wanafikiri ndiyo miradi ya NHC, hawajui kuna nyumba zisizo na idadi kwa sasa ni mapango ya popo.

Na ikumbukwe alijenga kwa mikopo ya banki. Hivyo ni miradi mfu.
Sasa mkopo wa benki halafu miaka yote hii bila malipo unategemea nini?
 
In this particular case, kaendesha kwa hasara pamoja na kwamba mahesabu yanaonyesha faida. Hio ni faida hewa tu. Gain on appraisal of assets inabidi ionyeshwe kwenye Equity na si kwenye income. (IAS 16:39). Sasa fanya adjustment hio uone kama kuna faida yeyote hapo.
Asante, nakumbuka kukusoma kwenye thread iliyoonya kuanguka kwa NHIF sababu ya decisions za Mchechu, enzi hizo miaka ya nyuma kabla haya ya sasa hayajatokea.
 
Alikuwa mtu wa ovyo sana.
Mikopo alinufaika nayo binafsi kwenye 10% za ujenzi
Hakuna kitu kilinikera kama kujenga ghorofa mpya Ubungo na Keko kwenye nafasi kati ya majengo ya zamani. Zilikuwa parking spaces au leisure areas. Sasa hata zima moto haiwezi kupita.
Asante Guru wa real estate, nilikusoma miaka hiyo kwenye mjadala moto wa NHC na mabadiliko ya Mchechu, enzi hizo JF ilikuwa JF kweli kabla haijachafuliwa na upepo wa kisiasa wa sasa, bado nakumbuka arguments zako NZITO!
 
Kumkopea what do you mean! mpaka serikali kufikia hatua ya kumkopea manake walijua anaweza kazi mbona waliopo hawajaweza kuaminiwa na serikali kukopewa ni hivi mkuu Africa haters ndio inaumiza hizi Nchi niambie tangu atolewa Mchechu kuna achievement gani zaidi yakumlau Mchechu tuwe wakweli majungu hayafai majengo yamebaki makao ya pope sababu waliopo hawana uwezo period
Alikuwa na miaka saba kama mkurugenzi wa shirika (if I am not mistaken) serikari ilimkopea kwa makusudi ya kumpatia mtaji wa kuongeza asset na alikuta shirika lina cashcows nzuri tu (nyumba ambazo hazina madeni ni kukusanya rent tu).

Pamoja na kukopewa, kuongeza rent sehemu zingine kwa asilimia 300 yes believe or not na kuimarisha ukusanyaji juu.

By the time anatimuliwa kwa ile financial statement mauzo ya faida hayaonekani yaani bank kuna kama 21 billion tu na expenses zao ni zaidi ya 100 billion kwa mwaka; kwa ivyo kuendesha shirika walikuwa wanategemea rent tu zinazokuja kila mwezi. Faida ya majengo yake ipo kwenye tangible assets tu na equity but not as liquid assets.

Haya ukimkopea zaidi amalize hayo majengo kwa business strategy yake uoni kwamba kuna high risk ya ku default huko mbele na kuifanya serikari iliyotoa guarantee ilipe maana at that current position walikuwa tayari wanaukata wa kumudu majukumu yao.

Serikari kumfukuza ilikuwa sahihi busara ni kumaliza hayo majengo na ku salvage what could be done then move on with a new strategy maana Nehemia kawaacha katika hali mbaya someone else was needed to steer the company on a new direction.

Tatizo lenu mkiona majengo basi kila kitu waa ndani wakati finance zao ni shida sana, kwa mikopo aliyopewa akutakiwa kugusa kodi alizozikuta, investment inatakiwa ijilipe yenyewe mwisho wa siku.
 
Alifanikiwa nini Mchechu?! si ndio maana akatunguliwa hadharani mchana kweupe kwa kuomba udhamini wa serikali ili akakope tena bilions wakati kashindwa kurudisha mikopo kibao, anajenga nyumba at over inflated prices on overpriced land parcels na hazipangishiki na wala hazinunuliki; kwa kutumia vikampuni fictitious vyake na nduguze ndio vilikuwa vinapewa tenda JPM akamtungua juu kwa juu! in fact it was a matter of time NHC ilikuwa itumbukie mtaroni; sishangai kusikia ina hali mbaya kifedha, lazima kuna mabenki lukuki yataporomoka nayo kwa sababu ya mikopo chechefu ya genious Mchechu!

Kumbuka Tanzania bado haina idadi ya kutosha ya watu wenye kipato cha kati (Middle income) wa kuweza kupangisha au kununua nyumba za Mchechu kwa bei zile na kwa kasi aliyokuwa akizifyatua genious Mchechu.
Angalia sasa uchumi wetu umesinyaa; watu hawana uwezo wa kupangisha au kununua nyumba hizo;
sijui pia kama Genious Mchechu labda alipanga Return on investment (ROI), ipatikane baada ya miaka 200; sijui!!!

Eti Mchechu alifanikiwa; my foot!
Labda alifocus soko la wenye ukwasi mkubwa tu. (I.e. market analysis). Pia alitafuta IRR(Internal rate of return) na NPV akaona the projects are viable.
 
Hiyo income ukifanya adjustment kwenye equity haitaonekana kwenye income and expenditure kama inavyoonekana kwenye mahesabu ya NHC. Nitashukuru kama nitakuwa proved wrong kwani siamini CAG anaweza kufanya such a huge oversight.
Ufanye adjustment ya aina gani? Why on equity? Unaweza kuquote hiyo IAS16:39 in verbatim. Unaweza kuwa unarefer standard unayoijua wewe peke yako.

At least kifedha na kihasibu sioni tatizo lolote na namna IAS 40 ilivyokuwa applied. In fact it's wrong from the beginning kurefer scenario husika to IAS 16.
 
While I agree with you on some aspects, ukweli unabaki pale pale: operating costs zinazidi operating revenue. Hiyo "faida" inapatikana tu ukifanya revaluation. Leo hii hiyo "gain" ya miaka ya nyuma itakuwa wiped out na revaluation (ambayo kwa sasa itakuwa na downwards trend maana hizo investment property ni magofu tu sasa).
Sasa umeargue kama msomi. Hata hivyo unaoverlook issues, hata ukitoa gains on revaluation still kwa financial year 2016/2017 bado alipata faida kama ya 30 Bilions.

Na kama wewe ni muhasibu explore more on items zinazomake statements yao. Ukiangalia vizuri utaona the most amount was expended on cost of sales of which ukiexplore vema utagundua it takes long to develop properties mpaka uuze. It's safe to say much of the expenditure doesn't relate to revenues earned kipindi kilekile. Maana yake ni kwamba without cost of sales (cost of developing houses for sale) bado angepata over 100 Billions in terms of cash profit. (To see that soma vizuri comparasions on the statement kati ya current vs previous reporting period).

The point nayo ielewa kuna shida ni on cashflows and ROI yao ni ndogo sana compared to the asset base waliyonayo.

Na tukiachana na hilo MD gani mwingine wa serikali alikuwa anaperform? At least with evidence of published statements kama hizi? Mchechu did good as we were expecting him to do beyond better.
 
Kumkopea what do you mean! mpaka serikali kufikia hatua ya kumkopea manake walijua anaweza kazi mbona waliopo hawajaweza kuaminiwa na serikali kukopewa ni hivi mkuu Africa haters ndio inaumiza hizi Nchi niambie tangu atolewa Mchechu kuna achievement gani zaidi yakumlau Mchechu tuwe wakweli majungu hayafai majengo yamebaki makao ya pope sababu waliopo hawana uwezo period
Tatizo kubwa la watanzania kwenye split opinions utakuta kwanza wana emotional attachment na hicho kitu badala ya ku deal na facts as a reason. Kwa mtaji huo kwakuwa kuna conceptual bias tegemea kuitwa hater, sijui jealous etc to do with their reasoning as opposed to facts to why they are backing that side of the argument.

Pili most do not bother to seek background info or early events leading to current position; unakuta mtu anatetea kitu from its current status ndio maana aelewi why it is the way it is (in this instance kutumbuliwa kwa Nehemia).

Kukusaidia you need to go all the way back from the point when he presented his future strategic plan in front of parliament baada ya kuteuliwa. Humo ndani kwanza aliahidi atakuwa anajenga almost 10000 houses kila mwaka za bei rahisi (halafu ni target ndogo sana compared na shirika jirani tu la Kenya let alone wenzetu huko nje) in addition to that kutakuwa na high end properties to boost his income stream yeye aliona hizo atauza haraka.

JK akambemba wakaenda nae China akatoa presentation yake, serikari ikamuwekea guarantee akope kwenye mabenki kuja kutimiza malengo yake.

Sasa baada ya hapo inabidi uelewe growth strategies approach tofauti za mashirika. Yake ilikuwa kutumia vyanzo vya nje (mikopo ya bank) ili aende na kasi aliyojipangia ya kujenga hizo nyumba elfu kumi sijui kila mwaka, etc with other nonsense zilizokuwa kwenye mpango wake.

Na madeni yenyewe yalikuwa na grace period juu hili kumpa muda amalize walau phase one awe na capital ya kulipa na kujiendeleza mwenyewe none of that worked nyumba zilijengwa sehemu ambazo hazina demand na prices way above the cost of an individual doing it alone.

Ideal unapokopa kunakulipa kwa hivyo kwakuwa nyumba zilidoda kulipa madeni ilibidi kuanza kuchota rent alizokuta zinaingia kama faida tu hili kufidia madeni yake as opposed na kuuza nyumba, tengeneza faida na kulipa madeni.

Kwa hivyo kila anavyojenga miradi mibaya rent ndio zinagharamia madeni ikafika hatua akaanza kuzipandisha kwa kasi aweze mudu madeni yake. In the process kuwapa shida sana wapangaji aliowakuta na bado nyumba aziuziki nyingi hiki ndio chanzo cha kupeleka shortage ya hela za mzunguko kutokana na majukumu yao.

Kumzuia kuwatesa wapangaji ilibidi Tibaijuka kuingilia kati ndio maana hakuwa popular NHC na baadae Lukuvi pia kuwekea mkwazo hizo rent hike akazipiga stop alipoingia.

Kutatua tatizo alitaka serikari impe tena guarantee akope, sasa wewe ushakopewa mara kadhaa huko nyuma na kila mwaka una ukwasi kinachoongezeka ni non current asset tu nina uhakika ata ukiangalia retained earnings zao sio cash bali ni asset tu za faida kutoka kwenye cashflow, the man was beyond incompetent.

In short huyo Nehemia wako unaemtetea hakuna kitu alikuwa anajua na watu walitabiri hayo matokeo way back kutokana na Strategic approach tu some of us can see the outcome, ni nyie tu ambao amdadavui mambo na kuangalia picha ndio mnamuona wa maana but through business performance analysis alikuwa ni CEO mmbovu mnooo.
 
Asante Guru wa real estate, nilikusoma miaka hiyo kwenye mjadala moto wa NHC na mabadiliko ya Mchechu, enzi hizo JF ilikuwa JF kweli kabla haijachafuliwa na upepo wa kisiasa wa sasa, bado nakumbuka arguments zako NZITO!
Nothing is cast in stone. As new data/evidence emerges, so are the ideas. Evidence based arguments.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom