Njia alizotumia Mchechu kuongoza NHC zilikuwa batili. Shirika lilitakiwa liwe limekufa mapema

Kumbe na wewe ndio wale wale! there is always a story behind numbers; if the narrative does not make sense to you then for sure numbers will overwhelm you into idiocy!
Give us the numbers first then.
 
Kumbe na wewe ndio wale wale! there is always a story behind numbers; if the narrative does not make sense to you then for sure numbers will overwhelm you into idiocy!
Leta hapa numbers zinazoonyesha NHC's poor performance, then back them up with Msechu stories.
 
Halafu wanajenga nyumba wanauza kwa dollar nchi ikitumia shilingi halafu ulizia bei sasa flat moja labda ipo upanga au masaki ukichenji kwa mahela yetu hapa unakuta milioni 250' mpaka mia tatu sasa hiyo hela si nanunu kijiji mbagala na nakula good life mpaka uzeeni haki kipindi cha nyuma kuna watu walikuwa wanaishi maisha ya anasa sana zile hela sijui ziliyeyukia wapi
250m to 300m is a steal kwa Masaki. Nenda zoom tanzania uone property prices.
Bila kuingilia mada ya Mchechu, watu inabidi kuelewa property prices have skyrocketed. Hiyo 250m unapata kiwanja tu mbezi beach, masaki, mikocheni etc. Or at best unapata unfinished house watu wamekwama. I understand frustration ya watu though, prices have gone up, income has stayed the same, it’s happening kote duniani sio Tanzania tu ndo maana millennials we don’t own property.

Ila mleta mada bila concrete numbers what you are saying is just an opinion.
 
Kwako wewe na kaiangusha NHC? Mchechu unamsingizia tu, alieleta mkologano wote huu ni Rais kuamisha mji kuu kuwa Dodoma bila kujua athali zake.
Wana jf
Watu wengi walikuwa wanamwona Mchechu kama ameweza sana kuliongoza shirika hili bila kujua kuwa limeendeshwa kwa hasara muda mrefu. Mchechu alikopa sana mabenki kuwekeza kwenye sehemu ambazo hazina mvuto.
 
MTK,
Wengi tuliona tu nyumba zinaibuka kusema kweli hakuna aliyehangaika kujua pesa anapata wapi? Lakini kama nyumba zenyewe ndo security ya mikopo basi zitakuwa mali za mabenki hakuna jinsi. So in actual fact unaweza kukuta NHC hawatabakiza nyumba mpya kama bado zinadaiwa. So sorry.
 
Nimeona kuna mtu kaanzisha mada akidai NHC hawana hela, sasa badala wakabiliane na hilo tatizo naona wanataka kumchafua Msechu.

Kama angekuwa anaendesha shirika kwa hasara Mabank yangempaje mpaje hela? mbona hawaipi Tanesco hela?
Mchechu mjanja na genius aliwapelekea titles za viwanja sasa na benk zina njaa na kwenye mabenk mameneja wapigaji sana mkopo hautoki hivi hivi. Tanesco hawapewi maana ni wazee wa makesi.
 
Nimeona kuna mtu kaanzisha mada akidai NHC hawana hela, sasa badala wakabiliane na hilo tatizo naona wanataka kumchafua Msechu.

Kama angekuwa anaendesha shirika kwa hasara Mabank yangempaje mpaje hela? mbona hawaipi Tanesco hela?
Mku kwani TANESCO wataweka nini kama Security au Dhamana ya mkopo? unataka mabenki yachukue Generator au waya za Tanesco? Sioni kama Tanesco wana Dhamana kama NHC . NHC HIZO NYUMBA ZENYEWE NDO DHAMANA KWA MABENKI.
 
Mabank yanaangalia profitability kwanza, baada ya hapo ndo yanaangalia dhamana. Hawa jamaa wamevuruga uchumi alafu wanataka kumsingizia msechu.
 
Mku kwani TANESCO wataweka nini kama Security au Dhamana ya mkopo? unataka mabenki yachukue Generator au waya za Tanesco? Sioni kama Tanesco wana Dhamana kama NHC . NHC HIZO NYUMBA ZENYEWE NDO DHAMANA KWA MABENKI.
Serikali ndiyo mdhamini wa Tanesco kila kukicha na hasara tupu.
Dr.Idrisa Rashid alilifanya shirika mpaka kufikia kuuza luku kama vocha za simu vifaa vikawepo Zanzibar wakalipa madeni,leo Tanesco unaambiwa luku hakuna waya hakuna nguzo hakuna ili mradi hilo mleta mada halioni
 
hela zinakwenda serikali kuu
 
hawa wanaona NHC haina hela wanakimbilia kumchafua msechu, majuzi masikini yule mkurugenzi wa wilaya mmarekani kasema ukweli, Almashauri haina hela akatumbuliwa.
 
Tatizo Magufuli hakuacha hii miradi imalizike.
Angeacha hii miradi imalizikize aichukue wapange wafanyakazi wa serikali.
Kule Kigamboni Dege Village pamechakaa sana
Masikini Dege panafanana na Idrib Syria.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom