Njema akojolea ndani ya friji

Mwiba

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
7,607
1,744
Baada ya kuona maajabu inabidi amuamshe mkewe na kumueleza ,mke wangu amka nikupe mawio yalionikuta usiku huu,leo nilipoamka na kwenda kujisaidia bafuni nilikutana na maajabu sijawi kuona tokea nizaliwe ,akiwa mwenye hamu ya kusikia maajabu hayo mke aliitikia kwa hamu ,enhee mume wangu ,njemba ikaendela kutoa habari ,nilipofungua mlango wa choo taa ya bafuni iliwaka yenyewe ,nikasituka ,nikaufunga ,nilipokuwa naufunga ikajizima ,nikafungua tena taa ikawaka ,nikaona woga na kukojoa hapo hapo mlangoni bila ya kuingia ndani ,yule mke akang'aka na kumwambia mume wake ku'nina zako usiekuwa na haya wewe ,umeshakojoa ndani ya firiji ,maisha gani haya ? Ile njemba ambayo ilikuwa imelewa chakari ikajisemea ,we kama huamini nenda ukajionee kwa macho yako ,maana wanawake wa siku hizi jambo dogo mnalifanya kuwa kubwa inakuwaje unapiga makelele wakati mi nimekuamsha kidogo kidogo na kukupa mawio . ,yule mke akatoa msonyo si wa kawaida ,njemba ikajibu umeona shetani ,isje kuwa wananifuata na uku ?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom