Pape
JF-Expert Member
- Dec 11, 2008
- 5,488
- 79
Wana JF, embu 'assume' umeingia hotelini au mama ntilie, kisha unaagiza 'msosi', msosi unatayarishwa fresh tu.
Sasa mhudumu wa hiyo hotel/mama ntilie anabeba kukuletea mezani kwako. ghafla bin vuu wakati anakuja huku kabeba 'menu' yote anaanza kupiga michafya na kukohoa mpaka 'kamasi' zinaruka duh! anatumia mikono yake 'mikavu' kujipangusa 'uchafu' wake afu bado anakuletea hiyo 'menu' ili ule! ungekuwa wewe ndio 'mwagizaji' huo msosi ungefanya nini?