Njaa, kinyaa na misosi!

Pape

JF-Expert Member
Dec 11, 2008
5,488
79
Wana JF, embu 'assume' umeingia hotelini au mama ntilie, kisha unaagiza 'msosi', msosi unatayarishwa fresh tu.

Sasa mhudumu wa hiyo hotel/mama ntilie anabeba kukuletea mezani kwako. ghafla bin vuu wakati anakuja huku kabeba 'menu' yote anaanza kupiga michafya na kukohoa mpaka 'kamasi' zinaruka duh! anatumia mikono yake 'mikavu' kujipangusa 'uchafu' wake afu bado anakuletea hiyo 'menu' ili ule! ungekuwa wewe ndio 'mwagizaji' huo msosi ungefanya nini?
 
wana jf, embu 'assume' umeingia hotelini au mama ntilie, kisha unaagiza 'msosi', msosi unatayarishwa fresh tu. Sasa mhudumu wa hiyo hotel/mama ntilie anabeba kukuletea mezani kwako. Ghafla bin vuu wakati anakuja huku kabeba 'menu' yote anaanza kupiga michafya na kukohoa mpaka 'kamasi' zinaruka duh! Anatumia mikono yake 'mikavu' kujipangusa 'uchafu' wake afu bado anakuletea hiyo 'menu' ili ule! Ungekuwa wewe ndio 'mwagizaji' huo msosi ungefanya nini?


umegusa pointi muhimu sana
mfano mkiwa ofisini
we unaweza ku share labda kikombe na wengine?????????
 
wana JF, embu 'assume' umeingia hotelini au mama ntilie, kisha unaagiza 'msosi', msosi unatayarishwa fresh tu. sasa mhudumu wa hiyo hotel/mama ntilie anabeba kukuletea mezani kwako. ghafla bin vuu wakati anakuja huku kabeba 'menu' yote anaanza kupiga michafya na kukohoa mpaka 'kamasi' zinaruka duh! anatumia mikono yake 'mikavu' kujipangusa 'uchafu' wake afu bado anakuletea hiyo 'menu' ili ule! ungekuwa wewe ndio 'mwagizaji' huo msosi ungefanya nini?

Ningemsusia na kumwambia kula mwenyewe uchafu wako.
 
Mi natwanga tuu kwani tumbo langu lina kila mashine ya kuchambua kuanzia uchafu hadi uzuri
 
Back
Top Bottom