Niyaweke wapi maisha yangu jamani?

Jiulize ndani ya moyo wako unampenda nani. Kwani mapenzi haya chagui mkubwa wala mtoto. Wana jamii wenzangu mbona binti kupedwa na babu wa miaka 60 hashangai iweje huu mshikaji. Wewe kama unapenda endelea nae hao mabinti wadogo nao vicheche akikutana na fataki anaruka nae. KAZI KWAKO.
 
Uwa nakaa nakujiuliza juu ya best yangu nakosa cha kumshauri,yeye ana miaka 26 anaishi Arusha lakini amezaa na mwanamke anamiaka 34 anaishi Dar es Salaam ni mfanya kazi,jamaa hana kazi bado ingawa amemaliza chuo kikuu pale Udom,lakini pia ana mpenzi mwingine ambae wanapendana sana na huyo mpenzi ana miaka 21 yuko chuo kikuu Arusha,shida inakuja kuwa jamaa anamtegemea yule mzazi mwenzie kwa kila kitu mpaka kodi ya nyumba na kwao na best yangu hawajui kama anamtoto na wanamtambua huyu msichana wake wa Arusha,juzi huyo mzazi mwenzake amesema jamaa aamie Dar ili wakaishi wote sa jamaa anakosa raha kabisa,ndo naomba ushauri ili nikamshauri best na tena ukizingatia huyo mzazi mwenzie alishawahi kuolewa halafu akaachika kwa hiyo ana watoto wawili pembeni,je best afanyaje jamani ndugu zangu naombeni mawazo nimsaidie best friend!Asante

hebu eleza vizuri kama ni wewe mwenyewe bana tukushauri vizuri kabisa mkuu
 
hapo mwambie avunje ukimya, akate mawasliano na huyo jimama na atafuta maisha yake
 
Mpe pole sana kama mapenzi anajua yeye mwenyewe yalipo.Cha muhimu ajiangalie yeye mwenyewe
 
Kwanza asijutie muda bado upo...akomae kutafuta ajira walau apate akili za kiuanaume...akijitegemea atajua upendo wake uko wapi hasa na ataweza kufanya uamuzi sahihi.
Lakini ajiangalie,huyo mama kama amempenda huyo kijana na umbali huu pia atakuwa na jibaba la saizi yake!
Kama atakuja dar ajiandae kufumaniwa...kupigwa au kudhalilishwa na huyo jimama....hizi degree mnazitumiaje wenzangu mliosoma?
 
Uwa nakaa nakujiuliza juu ya best yangu nakosa cha kumshauri,yeye ana miaka 26 anaishi Arusha lakini amezaa na mwanamke anamiaka 34 anaishi Dar es Salaam ni mfanya kazi,jamaa hana kazi bado ingawa amemaliza chuo kikuu pale Udom,lakini pia ana mpenzi mwingine ambae wanapendana sana na huyo mpenzi ana miaka 21 yuko chuo kikuu Arusha,shida inakuja kuwa jamaa anamtegemea yule mzazi mwenzie kwa kila kitu mpaka kodi ya nyumba na kwao na best yangu hawajui kama anamtoto na wanamtambua huyu msichana wake wa Arusha,juzi huyo mzazi mwenzake amesema jamaa aamie Dar ili wakaishi wote sa jamaa anakosa raha kabisa,ndo naomba ushauri ili nikamshauri best na tena ukizingatia huyo mzazi mwenzie alishawahi kuolewa halafu akaachika kwa hiyo ana watoto wawili pembeni,je best afanyaje jamani ndugu zangu naombeni mawazo nimsaidie best friend!Asante
kwakuwa ye ni mwanaume kama binti ahamie tu dar kwa huyo jimama.
 
ndo hawa wanaume wanaopenda kotekote...hana hata uchaguz maalum ukimuuliza anampenda nan....mambo mengne yakujitakia:hand:
 
Uwa nakaa nakujiuliza juu ya best yangu nakosa cha kumshauri,yeye ana miaka 26 anaishi Arusha lakini amezaa na mwanamke anamiaka 34 anaishi Dar es Salaam ni mfanya kazi,jamaa hana kazi bado ingawa amemaliza chuo kikuu pale Udom,lakini pia ana mpenzi mwingine ambae wanapendana sana na huyo mpenzi ana miaka 21 yuko chuo kikuu Arusha,shida inakuja kuwa jamaa anamtegemea yule mzazi mwenzie kwa kila kitu mpaka kodi ya nyumba na kwao na best yangu hawajui kama anamtoto na wanamtambua huyu msichana wake wa Arusha,juzi huyo mzazi mwenzake amesema jamaa aamie Dar ili wakaishi wote sa jamaa anakosa raha kabisa,ndo naomba ushauri ili nikamshauri best na tena ukizingatia huyo mzazi mwenzie alishawahi kuolewa halafu akaachika kwa hiyo ana watoto wawili pembeni,je best afanyaje jamani ndugu zangu naombeni mawazo nimsaidie best friend!Asante

Kwani hizo degirii alizipataje iwapo hawezi kujitegemea wala kutafuta njia ya kuondokana na utegemezi? Atakuwa Mtumwa mpaka lini kwa kupenda vya Bure?
 
yeye moyo wake unampenda mwanamke gani kati ya hao wawili?asikilize moyo wake bila kujali material things kama pesa na vingine eboo
akifanya hivyo itansaidia-maana hata umiza tena kichwa chake
 
ha ha ha ha.....mkuu mbona unagonga utosini? dah! watu kuweka mambo wahi washauriwe wanaogopa, kichwa cha habari hii kinajitoshelezesha. wewe amua moja kama utaenda kuishi na huyo mzazi mwenzako Dar au utaoa mwanachuo. Sikiliza nafsi yako inakutuma/kukushauri ufanye lipi. kumbuka kuachwa au kuacha muda wowote maana mzazi mwenzako alishayapitia hayo na kwake hataona tukio la kumfedhehesha.
huyo rafiki yako unayemsema mbona ni wewe? Wewe si ndo umezaa na binti huyo halaf hujapata kaz bado? Cha kwanza tafuta kazi kwanza
 
Nashukuru sana kwa ushauri wenu wanaJF,kiukweli mie ni girlfriend wa huyo jamaa yani ina niuma sana kuona ana kuwa na uhusiano ya huyo mwanamke kisa eti wamezaa nae,nishamweleza lakini hasikii nataka niachane nae tu ndo maana nimejifanya rafiki yake ili nipate ushauri hata kama nikichukua hatua nisilaumiwe,yani naumia sana kwsbb nampenda!
 
Uwa nakaa nakujiuliza juu ya best yangu nakosa cha kumshauri,yeye ana miaka 26 anaishi Arusha lakini amezaa na mwanamke anamiaka 34 anaishi Dar es Salaam ni mfanya kazi,jamaa hana kazi bado ingawa amemaliza chuo kikuu pale Udom,lakini pia ana mpenzi mwingine ambae wanapendana sana na huyo mpenzi ana miaka 21 yuko chuo kikuu Arusha,shida inakuja kuwa jamaa anamtegemea yule mzazi mwenzie kwa kila kitu mpaka kodi ya nyumba na kwao na best yangu hawajui kama anamtoto na wanamtambua huyu msichana wake wa Arusha,juzi huyo mzazi mwenzake amesema jamaa aamie Dar ili wakaishi wote sa jamaa anakosa raha kabisa,ndo naomba ushauri ili nikamshauri best na tena ukizingatia huyo mzazi mwenzie alishawahi kuolewa halafu akaachika kwa hiyo ana watoto wawili pembeni,je best afanyaje jamani ndugu zangu naombeni mawazo nimsaidie best friend!Asante

Kupanga ni Kuchagua.....and Love is how you fill it.....kama roho haitaki acha....nenda kunako furahisho hata kama hakuna ''kitu'' Pole sana siku nyingine uwe mwangalifu Dunia ipo tu mkuu......
 
Mie ndo girlfriend wake,naombeni ushauri sasa

uwe tayari ku-share mapenzi .........kwani kama walifanya mapenzi hadi kupata matokeo ya MTOTO ...........wameshajenga uhusiano [mpenzi wako ni Baba Mtoto wa huyo mwanamke mwenzio] hata kama atakuambia amemuacha ..............akienda kumtaza mtoto........mh! ............ hivi watatazamana tu???? na walikuwa wapenzi???????????????

Mama mtoto anaweza kumpa offer hata ya "gari" na hata ukiwa mkewe .........hivi kweli atakataa????

Upime ukimwi na kama uko salama ......... JITUNZE .... kwani mpenzi wako anaonekana hajatulia (sorry for that) unajuaje baada ya wewe ......... atakutana na Jimama lingine lenye mshiko zaidi??? sometimes TABIA haina dawa. ILA MWOMBE MUNGU AKUPE DIRECTION
Huo ni mtazamo wangu tu sio lazima iwe hivyo:attention:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom