Anamaanisha thamani halisi ya makinikiaHa ha ha ha ha ha Mkuu umenifurahisha sana bei ya kizalendo ndo shilingi ngapi??
Bei na picha yake?Chukua blackberry z10
Nina Samsung A9 ProKichwa kipo clear..nahitaji smartphone ya uhakika...tecno hapana kabisaa..nahitaji brands km:
Huawei mate 8,Samsung kuanzia S6 edge plus , Sony,etc
Scratches hazitakiwi ..
Kazi kwenu..leteni mizigo tufanye biz..
180,000/= hakuna ufa hakuna tatizo lolote,sina simu ya kupiga simu hii,Google utaionaBei na picha yake?
mkuu kuna sony experia Z3 ni mpya ina charger na earphone zake kwenye box lake ni sh 485000 tu mkuuKichwa kipo clear..nahitaji smartphone ya uhakika...tecno hapana kabisaa..nahitaji brands km:
Huawei mate 8,Samsung kuanzia S6 edge plus , Sony,etc
Scratches hazitakiwi ..
Kazi kwenu..leteni mizigo tufanye biz..