Computer4Sale Niulize laptop gani unataka na kwa ajili ya matumizi yapi nikupe bei na ushauri

Nataka laptop kwa matumizi ya ofisi na kuchora ramani kwa program kama QGIS. Napenda iwe nyembamba, betri iandumu muda mrefu na speed ya radi. bajeti yangu milioni tatu

Zipo mkuu nichek WhatsApp 0652565597

Kwa picha za sample za laptop Au piga simu

0687391033 uje dukan karibu sana mkuu
 
Nahitaji kwa ajili ya biashara,iwe inakaa na charg at least masaa 3...portable naweza nkasafiri nayo sehemu yyte is isichukue nafasi kubwa kwenye bag..
 
Ipo mkuu dell ni touchscreen ni portable unawezaitumia kama tablet nipigie simu 0687391033 au WhatsApp 0652565597
Tupo kariakoo mtaa wa aggrey na likoma mkabala na maendeleo bank
 
Nahitaji laptop kwaajili ya kumbukumbu za
Ipo mkuu dell ni touchscreen ni portable unawezaitumia kama tablet nipigie simu 0687391033 au WhatsApp 0652565597

Nahitaji kwa ajili ya biashara,iwe inakaa na charg at least masaa 3...portable naweza nkasafiri nayo sehemu yyte is isichukue nafasi kubwa kwenye
Nahitaji kwa ajili ya biashara,iwe inakaa na charg at least masaa 3...portable naweza nkasafiri nayo sehemu yyte is isichukue nafasi kubwa kwenye bag..
ipo mkuu nipigie simu 0687391033 au nichek WhatsApp 0652565597 au karibu dukan kariakoo mtaa wa aggrey na likoma karibu na mkombozi bank
 
Laptop yenye sifa hizi.
-Slim
-Portable
-Apple
-Betri charge isiyopungua masaa 4.
-Bei ya kawaida
-Rangi ya silver
-Ram na rom tutajua baadaye
 
Uliza tu mkuu nitakujibu
Nataka desktop, kwa matumizi ya home office, ila screen nataka nitumie TV Hisense 32" unashaurije? Na je CPU gani ya kisasa itanifaa ila iwe cheap, matumizi makuu: browsing, typing, no gaming, no heavy software running, ni hizi hizi social medias, Microsoft office, baaasi.
 
Laptop yenye sifa hizi.
-Slim
-Portable
-Apple
-Betri charge isiyopungua masaa 4.
-Bei ya kawaida
-Rangi ya silver
-Ram

Nataka desktop, kwa matumizi ya home office, ila screen nataka nitumie TV Hisense 32" unashaurije? Na je CPU gani ya kisasa itanifaa ila iwe cheap, matumizi makuu: browsing, typing, no gaming, no heavy software running, ni hizi hizi social medias, Microsoft office, baaasi.
Zipo portable CPU na bei yake iko chin nichek WhatsApp 0652565597
 
Nataka desktop, kwa matumizi ya home office, ila screen nataka nitumie TV Hisense 32" unashaurije? Na je CPU gani ya kisasa itanifaa ila iwe cheap, matumizi makuu: browsing, typing, no gaming, no heavy software running, ni hizi hizi social medias, Microsoft office, baaasi.
Kutumia tv kama screen hiyo haina shida ila tv ina mwanga mkali kuliko hizi monitor za computer so unapotumia jaribu kuset mwanga ili kupunguza ukali wa mwanga
 
Duh umenifungua. Suna sababu ya msingi kutumia screen ya TV. Ila nilionganisha cku laptop na HDMI kwenye TV nilipenda muonekano. Kama inaweza kua na madhara kwenye macho sidhani kama idea nzuri
 
Back
Top Bottom