Nitawezaje kupata Pasi ya kusafiria(Passport ) kwa haraka?

Mhh!kwa dar hapana aisee...nmezungushwa pale cku 4 ndo nkafankiwa kupokelewa form yangu ad kuchokq

Ningechukua siku hiyo hiyo ya Ijumaa, tatizo muda ulikua umeenda sana nikaishia kuchukua finger print. Jumatatu nimefika pale mapema umeme ukakatika, priting process ikachelewa, kufika saa nane nilikua naelekea airport na passort yangu mpya kabisa.
 
Mhh!kwa dar hapana aisee...nmezungushwa pale cku 4 ndo nkafankiwa kupokelewa form yangu ad kuchokq
Mkono wako ukiwa mfupi process zinakua ndefu Mkuu! Pia inaonekana ulienda Posta manake wale ndo mizinguo.
 
Yeah nlienda posta mkuu,asa nawapa 50000 alf niwape rushwa ili iweje akat ni kaz zao kuhudumia mteja
Kama hauna haraka fata process Tu hata ikichukua mwezi mmoja Kuna shida gani! Ila Kama unataka kusafiri week moja Tu mbele au ticket Iko mkononi.... Mawazo yale ya kwamba "Ni kazi Yao kuhudumia mteja" huwa hayapo Mkuu!

Unajikuta unatamani kutoa hela wewe mwenyewe
 
Hahahaa...eti unataman kutoa pesa mwenyewe,yangu haina haraka ndomana nkawa mpole
 
Kama hauna haraka fata process Tu hata ikichukua mwezi mmoja Kuna shida gani! Ila Kama unataka kusafiri week moja Tu mbele au ticket Iko mkononi.... Mawazo yale ya kwamba "Ni kazi Yao kuhudumia mteja" huwa hayapo Mkuu!

Unajikuta unatamani kutoa hela wewe mwenyewe
Umenichekesha sana mkuu kwahiyo mwenyewe unazama mfukoni pasipo kulazimishwa aiseeee....!!!
 
Umenichekesha sana mkuu kwahiyo mwenyewe unazama mfukoni pasipo kulazimishwa aiseeee....!!!
Yani mkuu utamtafuta wa kumuhonga mbona! Wewe mwenyewe.

Umepangiwa uje uchukue Passport baada ya week 2, hafu Una ticket mkononi inayokutaka uondoke Bongo baada ya week moja!
Unajaribu kumweleza Officer kuwa Una Ticket Na unatakiwa uondoke baada ya week moja!

Officer uso mbuzi anakujibu kwa sauti mbele ya foleni "Brother kila mtu hapa anataka passport Kama wewe, njoo siku ya tarehe yako!"

Nambie Mkuu hujamtafuta mtu wa kumuhonga???? Ili upate passport yako ndani ya siku 2 au 3??
 
Habari wakuu, wazazi wangu hawana vyeti, nitawezaje kupata Affidavit kwa hapa Dar es Salaam?

Natanguliza shukrani.
 
kama n pasport nilimchukulia mume wangu mwez wa 12 mwaka jana ....gharam n elfu 50 unalipia benk, pasport colour blue ,barua ya serikal za mtaa,, bila kusahau chet cha kuzaliwa chako na cha wazaz,, kama huna tengeneza affidavit ya wazaz(hapa ndo utapigwa ila mm jilitengeneza elfu 15 ) ndani ya lisaa hakikisha una stamp,, muda saa tatu mpka saa nane basi,, sasa hapo kwa kurahisisha (kunjua shati broo) kama kilo hiv ndani ya wiki mboja mzigo mkonon....
hivi kutengeneza affidavit anahitajika mzazi mwenyewe au unaweza ukaenda mahakamani mwenyewe wakakutengenezea tu
 
hivi kutengeneza affidavit anahitajika mzazi mwenyewe au unaweza ukaenda mahakamani mwenyewe wakakutengenezea tu
nilitengeneza kwa manasheria sasa hapo wanatofautia kuna wa laki , elf 80 mm nilifanyiwa elfu 15 kwa kuwa n mwanasheria wangu,, pil n kiasi unakaaa hapo hapo unapewa kama baba yuko mbali ama mama anaweza kuwa hata ndugu wa baba akasaini kwa niaba yake,,, na si lazima akawepo unaweza tengenezewa halafu unampelekea akasain sehem yake ....
 
hakuna visa na kuna pasipot ina itwa talaka rejea ni elfu 5 na picha zako za paspoti size na kuna nyingine ya elfu 15 hadi elfu 20 ila kama una enda kufanya kazi huko please fata shelia ya vibali vya kazi pia sio nchi hizo tu hata hizi nchi una weza kwenda bila viza malawi na zambia congo visa ipo kaka
hivi hii system Uganda na kenya bado wanayo
 
nimepata nafasi ya training asia leo nahitajika kutuma passport namba kabla ya trh 13 mwezi huu wa sita. aliefanikiwa kupata passport ndani ya siku mbili anipe mwongozo plz
 
Back
Top Bottom