Nitapeleka wanariadha wakajifunze kwa Dibaba na Bekele.!!

usungilo

JF-Expert Member
Aug 9, 2012
522
331
Hii ni kauli atakayorudi nayo jk akirudi kutoka kwenye mazishi ya Zenawi. Watanzania tu watu wa ajabu sana, tunaweza hata kugombania samadi na kuacha dhahabu!! Nahisi hata Mungu hajishughulishi tena kusikiliza maombi yetu.
 
Back
Top Bottom