Mpwa wangu kweli unatafuta? Niorodheshee nini na nini unataka tuangalie mpwa wangu!
Ile mashine ya kuoshea yenye capacity kubwa, ile ya vumbi, wheel balancing, wheel alignment, tyre remover na vingine vidogo vidogo ila kama vipi tuhamie kwenye PM