Nitampata wapi huyu mrembo hapa JF

Na Kaizer au Fidel?:confused::confused::confused:!!
yaani unafeli hata swali la multiple choice
icon_surprised.gif
 
Mwenye mvuto kama FL,
Mpole na mwenye ngozi nyororo kama Lily Flower,
Swagger unyenyekevu na upole kama za JS,
Ateme nondo za ukweli kama WOS,
Mcha Mungu kama Charity,
Mwenye umbile la kibantu kama CheusiMangara.
Mchesi na mwenye kujituma jamvini kama BHT,
Mwenye msimamo usioyumba kama Preta,
Mfia nchi kama Gender Sensitive,
Asijichanganye na jinsia yake kama itei tei lya kite.
Mwenye kujali watoto asiwaache Arusha kama Nyamayao.
Mwenye kuota umilionea kama Binti Maringo.
Awe mshereheshaji wa kicheni Pati ya JF kama Maria Roza
Awe anajua kuimba(Vocalist) kama MAHAI.

Nitampata wapi huyu bibiye.


Wachukue hao wote, kila mmoja atakusatisfy kwa nafasi yake. Lakini simu yako iwe na uwezo wa kutuma sms za kutosha! Short & Clear.
 
Itifaki itazingatiwa. Kaizer = loho mtakatifu?....... sawa kabisa lakini si Roho Mtakatifu! Utazaa mapacha, usijesema sikukuonya.

Maswali ya kubahatisha huwa siyawezagi. Nisaidie jibu basi.
wala usinionye maana mwenzio kwa kaizer hata sionyeki.
na hao mapacha nitafurahi mana watakuwa mahandsome kama baba yao hommie wako.

mkuranga nitakwenda na fidel.
 
Back
Top Bottom