Nitakuwa wa mwisho kuamini kama Aunty Ezekiel hajatengeneza shepu yake

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Sep 7, 2016
17,464
21,195
Muonekano wa sasa wa Aunty Ezekiel umetushtua watu wengi sana

Japo Aunty alikuwa na kishepu fulani hivi tangu hapo awali ila kwa sasa mmmmmmmmmmh surgery imehusika hapa tusidanganyanee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Aunty Kawa na mshepu wa haja ghafla na kuonesha msisistizo katuonesha liiiive ili tusije tukasema ni kigodoro.

Ila yote kwa yote muonekano huu umempendeza sana, hongera yake.

873607770.jpg
 
View attachment 2800026
ni miongoni mwa wa dada wa kawaida sana town, huwezi umia akikutolea nje mbususu
 
Muonekano wa sasa wa Aunty Ezekiel umetushtua watu wengi sana

Japo Aunty alikuwa na kishepu fulani hivi tangu hapo awali ila kwa sasa mmmmmmmmmmh surgery imehusika hapa tusidanganyanee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Aunty Kawa na mshepu wa haja ghafla na kuonesha msisistizo katuonesha liiiive ili tusije tukasema ni kigodoro.

Ila yote kwa yote muonekano huu umempendeza sana, hongera yake.

View attachment 2800026
Wewe kwa nini usitengeneze shepu ya makalio yako?πŸ™„
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom