'Nitakupa chochote unachotaka'

Raia Fulani

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
10,880
2,758
Hii kauli si ngeni masikioni mwenu. Mara nyingi hutamka wanawake. 'nilimpa kila alichotaka' hii kauli hutolewa ktk mapenzi. Nina hofu nayo kwani mwanamke akisema hivyo anamaanisha anampa/alimpa mapenzi halali na haram, so huwa nawaangalia kwa mashaka sana. Wadau mnasemaje
 
Dizain ubongo wako umeshaathirika na Global warming ndo maana fasta unafikiria mengine ambayo watu hawayamaanishi...
 
ukiwa mtu wa kufikiri lazima ujiulize na maswali ya ziada kwa faida ya badae as far as what if is concerned. Kwa jibu lako inanipa picha kuwa ur mind is limited kwa kiwango flani cha kufikiri
 
ndio mnaanzaga hivi hivi...
 
Kuna ubaya mtu kumpa mpenzi wake kile anacho taka? Na je mke akisema anampa mumewe kila anacho toka? The statement is more symbolic to mean you are satisfying your lover or husband/wife and it shouldn't be taken literally. Kuna kauli nyingi watu hutumia mapenzi and they are just used to express ones feelings towards the other. Kauli kama hizi ni mtu uliye sikia unaichukuliaje lakini utakuta mtu kaisema kwa nia njema we uka fikiri vingine. Kwa mawazo yangu, uki sikia mtu anatoa kauli kama hizi we endelea tu na yako maana mapenzi ni a personal matter so as long as its' not directed to you in any way hauna sababu ya kuanza kukaa na kufikiri mtu alikua ana maanisha nini.
 
Tehe tehe...hata mwalimu akiamua kukupa kila kitu somo litakwea....i guess! Tuko pamoja, wasiwasi wenu tu.
 
Huyo anayetoa kila kitu, literally ni mtumwa, ana very low self-esteem na haidhuru hajiamini na hajithamini. Kwa maana inaonekana aliuza utu wake.. Nway, provided the portrayed 'everything' is beyond the imaginable..lol
 
Mi nadhani anamaanisha anampa mahaba ya kueleweka not necessarily tiGo and the like
 
Hii kauli si ngeni masikioni mwenu. Mara nyingi hutamka wanawake. 'nilimpa kila alichotaka' hii kauli hutolewa ktk mapenzi. Nina hofu nayo kwani mwanamke akisema hivyo anamaanisha anampa/alimpa mapenzi halali na haram, so huwa nawaangalia kwa mashaka sana. Wadau mnasemaje

Hata wanaume pia hutamka kauli hii, lakini je kauli hii inaashiria mapenzi kweli!?
 
Mi nadhani anamaanisha anampa mahaba ya kueleweka not necessarily tiGo and the like

Ok, all in all unaweza kuamua kuamini kile uonacho kinakupa faraja, lakini in my case, i have stopped trusting women long time ago. Gudlak muzee
 
Hizi kauli huwa hazitoki kwa mwanamke tu, hata wanaume wana hizo kauli tena sana tu. Ktk ulimwengu tulionao sasa maneno kama hayo ya mahaba wala hayaitajiki, maana mtu unaweza kusema kitu na ushindwe kutimiza. Kinachohitajika ni vitendo vya kumaanisha kwamba unamjali, unampenda na upo tayari kwa lolote kwa ajili ya mpenzi wako.
 
Mwanaume anaposema nimempa kila kitu anamaanisha mali na mapenzi na si zaidi ya urijali wake. Mwanamke, i doubt much. Lazima kabla ya kutoa kauli mzipime kwanza la sivyo wenye mawazo ya kuoverlap tunahisi vibaya, na tuko wengi. Ni sawa na kusema raha jipe mwenyewe...
 
Ha ha ha ha..Baba unaniacha hoi..lol
 
lugha nyingine ni katika kuleta raha katika maisha ya wawili ukitaka utafsiri kila neno kwa linavyotamkika utapata maana nyingi zaidi, nimempa kila kitu kwa lugha za kawaida bila kuhamisha mawazo ni kuwa amemfanyia au amempa mapenzi yote aliyostahili!
maneno mengine ni katika kuongeza ladha au mashamsham ya mapenzi si kwa maana hizo zinazofikiriwa!! ila kwa kweli nashngaa mno kwanini hili wazo la kwenda kinyume limetawala sana sikuhizi....ninahofu maana mawazo hujenga au huumba isje tu kugeuka kuwa ndio kawaida
 
tatizo kuna wimbi la uchafuzi wa lugha liliibuka hapa kati likaaharibu sana. Akina chuchu na omar mkali na wengine hao. Mtu akisema, 'nimeikalia' utaangaliwa kivingine. Kifupi ndio hivyo
 
Back
Top Bottom