Mu-Israeli
JF-Expert Member
- Mar 21, 2012
- 2,454
- 975
Na hiyo Kigamboni City ilipigwa picha na nani? Huelewi maana ya concept pictures na photography. Tatizo lako ni elimu, hivi mnafikiri kuelimika ni kukaa kwenye hizo kuta nne tu? humo mnajazwa ujinga bila kujijuwa.
Hapo kwenye blue unazungumzia picha ???
Hebu check hii picha hapa chini !!! The whole of Dar es Salaam city center inatosha kwenye picha (picha ya kupigwa kwa kutumia camera).
Ila wewe ulisema chuo kimoja ambacho ni eneo dogo sana, hakitoshi kwenye picha moja ??
Angalia vizuri picha hii, ina-cover eneo kubwa kuliko chuo kikuu cha Dodoma !!!
Upo hapo ???
Baada ya kuangalia picha vizuri, unaonaje kama yale maneno yako kwenye red kuwa yanakuhusu wewe mwenyewe zaidi !!!??
Hapo Vipi ???