Nitajuaje kama mke wangu amenisaliti

Kama umesoma Sheria, philosophy au sociology ni rahisi mno kujua kama mkeo/mume kachapa/kachapwa nje au la...
 
Siku moja mpige ambushi , akirudi mvue nguo zote achuchumae halafu mvutishe ugoro ..... Alianza kupiga chafya utapata majibu au mrushe kichura chura labda waweze wanatumia condom.
Ila kingine mkuu mwachishe tu kazi kama una ubavu wa kuhudumiakila kitu.

akigoma je ..............
 
Mi nashauri ukaombe kazi ya umesenja ofisini kwao ! Ukishafanya kazi miaezi mitatu niPM unijibu maswali yangu !
 
trust your wife huo ulionao ni udhaifu hakuna awezae mgegeda mkeo zaidi yako...............
av confidence mind....
 
Me narudia tena kusema hapa,kwa hali ilivyo hivi sasa hayupo mwanamke hayupo mwanamke asiyegongwa! Nimefanya majaribio zaidi ya 30 kati yao hakuna hata mmoja aliyekataa. Wanachoangalia akina Dada siku hizi ni je! Ww unayemtongoza una nini!? Wanaume lazima mjue,akina mama hawahitaji mwanaume wa kupiga nae picha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom