Nitajie wachezaji watatu waliokuhamasisha kuupenda mchezo wa soccer

1. Said Maulid SMG alinifanya nikaipenda Yanga 2000
2. Thiery Henry, nikawa shabiki wa Arsenal 2004
Yaani mi na unazi wangu wote wa mpira yaani kuanzia nikiwa mdogo let say kuanzia 2000 nipo la 3 huko nafatilia mpira sana hasa chama langu man u ambalo sa ivi ni tia tia maji.... Ila sikuwahi kushabikia Mpira wa bongo kabisa... Yaani nilikua siuelewi kabisa Wala Sina timu


Mzee wangu alikua mnazi wa Simba, nilianza kuwachukia Simba nikiwa mdogo siku Mzee Simba imebamizwa huko akaja home na hasira zake kosa kidogo tu tukatembezewa stick, ndo Maza badae anatuambia Leo Simba kafungwa mkileta utundu huyu Mzee Leo atawaua

Miaka kama mitatu nyuma ndo nimeanza kushabikia yanga, eti sa ivi wameniingia siwezi kukosa mechi zao wakati man u msimu huu sijaangalia hata mechi Moja nishawapotezea kabisa
 
LIONEL MESSI HAS SHAKEN HANDS WITH PARADISE

MESSI NI MCHEZAJI KUWAHI KUTOKEA ANAKUAMINISHA HAKUNA MCHEZO RAHISI ZAIDI YA MPIRA WA MIGUU.

KIUKWELI KUANZIA MOVIES ZAKE, ANAVYOKOKOTA MPIRA, DRIBBLING ANAVYOSHUTI ANAKUAMINISHA MPIRA NI MCHEZO MWEPESI SANA TOFAUTI NA UHALISIA
MESSI IS BEST OF ALL TIME
 
1999 MAN UNITED SQUAD FULL SQUAD

but wachezaji walionifanya nifurahie BURUDANI ya mpira yaani uione BURUDANI ya SOKA usuuzike ikawa inanifanya nitazame tu mpira hata TIMU yangu ikiwa haichezi

ni RONALDINHO
TIHERY HERRY
DARDO PIRSO
JUAN ROMAN RIQUELME
RUD VAN NISTROOY
PAOLO MALDINI
OLIVER KHAN
OWEN MICHAEL
JAY JAY OKOCHA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom