Nishaurini jamani

nyengo

JF-Expert Member
Oct 27, 2010
454
184
leo asubuhi nilikuwa na mazungumzo na mtoto wangu ambae ana miaka 7. Tulikuwa tunazungumzia mawsala ya dini na isuue yenyewe ilikuwa ni kuhusu sadaka. Ni kwamba dini kalibu zote huwa zinatoa sadaka. Na sadaka mara nyingi huwa mungu anachinjiwa kondoo, mbuzi na hata ngombe.
mtoto hivi mungu naye anakula hao wanyama?
mimi hapana, mungu hahitaji kula
mtoto je kama mungu akila itakuaje?
mimi ntakujibu vizuri baadae nikirudi kazini.
kwa kweli sikujua jibu lake na bado silijui. Naomba kama mtu anajibu niambieni nikamjibu mwanangu.
 
Mmmmmm!!!!! watoto wa siku hizi nao sio mchezo. ni swala zuri hata mie sijui jibu lake lakini usikate tamaa, kuna great thinker watakuja tu kukujibu
 
Labda nakosea..lakini ulitakiwa kumwambia..kwa sababu Mungu hatumuoni kwa macho yetu sisi wanadamu ameagiza sadaka yake tuchinje na tuwape wale walio masikini au wasio na uwezo..Mwambie Mungu anahuruma sana hivyo kabla yeye hajala anapenda kuona nasi tuna huruma....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom